Hawa👆🏾 wote ni majirani. Kwa ujumla, kila mmoja wao amechangia kufikia hali za mahusisno walizo nazo. Na wote kwa ujumla, WAKIAMUA, ndio pekee watakao changia kuondoa hali na mahusiano waliyo nayo. Hivyo basi, ni rahisi sana kusilikiza ya kumbiwa, bila busara hautajua kua unambiwa unayo ambiwa ili uwe mshabiki na ufuate mkumbo tuu. Tafiti zinatuonuesha kua, siku zote ktk ushabiki, UKWELI na HAKI hupotelea mbali, hapo maidha huwa matatani. Huamini, tafiti ushahidi wa KESI MBILI ZA MOTO WA KUTAKA KUNCHOMEA MAMA NDANI, na pua fuatilia makesi lukuki ya KUGUSHI dhidi ya Mama yetu. KWASABABU ZA IMANI ZA KISHIRIKIANA. Uliwai kuona wapi ushahidi na ridhaa ya kamati eti Mama wa Miaka 70 amepanda na kukata MITI YA JIRANI YETU JOSEPH FELIX MASIKA MASAO🤔😄?
Wale walioshiriki kumwaga damu ya Baba Mwl. Valerian Sir. damu iliyomwagika itawatesa sana na uzao wenu.kama yeye alivypteseka kufa polepole akidhania ndugu zake na damu yake haikua na ukatili dhidi yake na uzao wake kiasi kwamba damu yake na uzao wake itamwagwa na aliowapenda. Yule mliokua muliyemwita Mchunfaji kila siku asubui tulipokua tuna mkuta akimlazimishia Baba chai, na kila mara tukiingia ghafla anatoweka na themors yake, kile mulichoshiriki nae, kitawarudia.
Anaye shiriki yalisemwa na kudhairiwa tangu awali, na kutimizwa pindi tuu baada ya Baba zetu kufariki, nae anashiriki umwagaji wa damu yetu uliopangwa. Nae hata furahia matendo yake, kwani utesi huzaa watesi na mateso maakali sana kwa mwenye roho ya utesi.
Kile munachotaka kufanya kwa kujilazimisha kwetu kwa kila njia, mbinu na namna, sio ujirani wala undugu. Ila ni taswira ya ujirani na undugu, halafu mututumie mahusiano haya tena ili kumwaga damu tena. Ukaribu/ujirani na undungu ndio uchochoro wenu wa kutimiza dhamira na muliyonuia tangu awali. Tofauti na awali ni kwamva Wazee wetu walipofariki, wameondoka na pazia la amani, undugu, na ujirani walivyo heshimu na kujenga.
Mulitaka kuutumia undugu na ujirani kuja kumwulia Mama na yeyote anaye ishi hapo home bila kubainika. Muliplan kutumia upakaziaji wa imani zenu kama ndivyo vyanzo vya vifo munavyo nuia na mulivyo dhamiria tangia awaki. Yote muliyosema kwenye vikao vya kifamilia enzi za Baba zetu, nikiwa mtoto mumeyaonyesha kimatendo. Mumekazana kuzuia tusipaze sauti na kupakazia kua ndio chanzo cha uadui. Sio kweli na hamuwezi kuuzuia ukweli, na mwuuaji hataacha kubainika kamwe. Anajulika na wanaofuata mkumbo kujaribu kuzuia Ukweli, wanajua ukweli nafsini. *SIO MUSEMAYO, NI YALE MUTENDAYO🤔.*
Ndio maana BUSARA ZA Baba zetu hawakupeleka haya mambo kwa majirani, serikali ya kijiji au kata kiushabiki kama ninyi mulivyo anza. Bila shaka, Dhamira zao zilikua za kisuluishi, kindugu, kiujirani mwema na Kikristu.
Lakini, Pindi tuu Baba Mwl. Valerian alilipofariki tuianza kuona vitendo/viashiria vya yaliyonuiwa awali. Mengi tuliwashirikisha na kuwaasa sana Tedo, Ben na Autie Florentina kutofanya mambo ya uvunjifu wa amani na upendo, ikiwamo kupeleka mambo ya nyumbani kwa majirani, kijijini, na kata kishabiki bila hata sisi kupata taarifa rasmi. Na Baba Mwl. John alipofariki ndio uvamizi na vitisho vikashamiri na kupelekea hapatulipo na tunakoelekea.
Kwani mlipuko wa huu ushabiki walio uanzisha tuuonavyo haujazimika. Hawa ndugu zetu wanajua fika, kua hakuna la UKWELI & HAKI lisilowezekana kupata suluhu, Baba zetu ni mfano muruwa. Walivyoyafanya ni ramani walioturithisha, ila kwa sababu zetu sote tumeamua kuziacha.
Sababu zetu ni kiusalama zaidi, kwani kuita vikao vya kifamilia, kujali mipaka, kuthamini mahitaji muhimu kama maji/usalama na ujamii, na kuonya viligonga mwamba. Katika udadisi na historia ilivyo, kuna wengine ni *SABABU ZA KIIMANI (Vikao vya Kijiji na hukumu za Kata na Mahakama vinaonyesha hili), na pia KIUCHUMI/KISIASA/KIMASLAI.* Kuna viashiria kua kuna watu wananufaika na kuchochea HUU UGOMVI uwe ENDELEVU.
Ila tuonavyo Wana malengo na dhamira zao. Kama wanebadilika na ni matendo sasa ni mazuri, Mungu awabariki na yatimizike. Kama ni bado ni mabaya kama walivyonuia awali, Mungu ayazuie na awaadhibu ipasavyo, inavyostahili na panapostahili.
Kwani MUNGU halali. Tumejifunza kua UKWELI haufichiki. HAKI haibwi au haivunjiki kirahisi mtua adhaniavyo, hata wanuie na kudhamiria ubaya namna gani. Ukweli ni kwamba watesi nao huteseka vikali sana, na wauaji nao hufa. Mungu akibariki, watu hushuhudia ghadhabu la Mungu kwa watesi wao na wanuiao/wamwagao damu za watu bila hatia, Karma.
VPELP Reader(s) Signature and Disclaimer: The content of this Blog (ttps://vpelp.blogspot.com) is a “Me Too To retired and widow Mwalimu Felicia H. Moshi” and family, to her oppressors. The content of this blog is protected under the privacy, US First Amendment, and private property laws. Also, the contents of this Blog are mixed opinions/interpretations, views, perceptions, overreactions, experiences, and feelings by members of Valerian and Felicia Masao’s privileged real-time and real events of their private Family facts, presented by the Blogger(s). Please help us to raise awareness for the VULNERABLE people. "In God We Trust," and "United We Stand.". Contents of this Blog are intended for reading use only and not permitted for any commercial, publicity, or malicious acts. Reader(s) discretion is of the essence. Do not misrepresent, distribute, print, download, and or copy the content of this Blog without the Blog Administrator’s permission or proper academic and legal references. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly. Thank you, and may God bless you.