Wednesday, January 19, 2022

Malezi & Mazingira Ni Mifumo Inayojenga Tabia

๐Ÿ‘†๐ŸผNimeipenda hii ๐Ÿค๐Ÿพ๐Ÿค›๐Ÿผ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘†๐Ÿพ

Ukweli ni kwamba, Ukiwa Mwizi, ukipata upenyo utaiba tuu. Ukiwa msimamia haki ukiona uonevu utaisimamia #haki tuu. Ukiwa mwongo, utaongopa tuu. .......... e.t.c.

**Baba wa Saikolojia ya Behaviorism, John Watson, anatuasa kua tabia ni thibitisho la utu/mtu. Conditioning/malezi hutokana na mazingira. Malezi na mazingira ni mifumo inayojenga tabia ya mtu/watu.*

Nusu ukweli ni uongo. Haki ya mtu ni haki yake tuu. Udokozi ni wizi. 

Ni dhamira. Ni kutoka moyoni. *Baba wa Saikolojia Sigmond Freud alisema "Slip" ni pale mtu anasema au anafanya kitu bila kujitambua, na ndio ukweli halisia bila hujuma.* 

Pia, wanasaikolojia wakongwe nduniani wamepanua/expand *Freudia "Slip"* kupitia *Stimulus-Response (S-R), Condtioning-Response (CS) na Introspections,* na kubaini kuwa *MTU MWENYE NIA MBAYA* akibanwa/akigundulika, huwa ana tabia ya kusingizia watu/vitu vingine au anamfakamia/mvamia *VICTIM WAKE,* gaslighting, badala ya kukiri na #kujirekebisha *(kuomba Toba YA UKWELI).*๐Ÿค” 

Go Figure!

VPELP Reader(s) Signature and Disclaimer: Content of this Blog (ttps://vpelp.blogspot.com) is a “Me Too To retired and widow Mwalimu Felicia H. Moshi” and family, to her oppressors. The content of this blog is protected under the privacy, US First Amendment, and private property laws. Also, the contents of this Blog are mixed opinion/interpretations, views, perception, overreactions, experiences, and feelings by members of Valerian and Felicia Masao’s privileged real-time and real events of their private Family facts, presented by of the Blogger(s). Please help us to raise awareness for the VULNERABLE people. "In God We Trust," and "United We Stand.". Contents of this Blog are intended for reading use only and not permitted for any commercial, publicity, or malicious acts. Reader(s) discretion is of the essence. Do not misrepresent, distribute, print, download, and or copy the content of this Blog without the Blog Administrator’s permission or proper academic and legal references. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly. Thank you, and may God bless you.

Sunday, January 16, 2022

Life Is An Undeserving Gift From God Creator




The moral of this video clip, a simple but common phenomenon, is never to be afraid of hardship or rejection. To never give up on doing what is right. Never allow the premise that your life is the hardest. 

The simple and often overlooked truth is, we could have it worse. Many people were okay yesterday, just like you and I, but did not get up to see today, will not walk again, will not talk again, will not see again, will not be the same again. Therefore, life is an undeserving and unsolicited gift from God, who creates us all, his children. 

As such, strive to make life Fair, Just/Rightful, and Truthful/Evidence-Based in every way you can, no matter the odds stacked against you. *Thus, your path here on the earth will rip deserving mercy and blessings. God has a purpose in you and your life, bestowed in your talents and free-will.

In Hebrews 13:16-17 (KJV) "16 But to do good and to communicate forget not: for with such sacrifices God is well pleased. 17 Obey them that have the rule over you, and submit yourselves: for they watch for your souls, as they that must give account, that they may do it with joy, and not with grief: for that is unprofitable for you."

Let not *fear for the deceptions or temporary worldly measures to determine your lasting destiny.* Jehovah is always great, all the time. Have a blessed weekend ๐Ÿ™


VPELP Reader(s) Signature and Disclaimer: Content of this Blog (ttps://vpelp.blogspot.com) is a “Me Too To retired and widow Mwalimu Felicia H. Moshi” and family, to her oppressors. The content of this blog is protected under the privacy, US First Amendment, and private property laws. Also, the contents of this Blog are mixed opinions/interpretations, views, perceptions, overreactions, experiences, and feelings by members of Valerian and Felicia Masao’s privileged real-time and real events of their private Family facts, presented by the Blogger(s). Please help us to raise awareness for the VULNERABLE people. "In God We Trust," and "United We Stand.". Contents of this Blog are intended for reading use only and not permitted for any commercial, publicity, or malicious acts. Reader(s) discretion is of the essence. Do not misrepresent, distribute, print, download, and or copy the content of this Blog without the Blog Administrator’s permission or proper academic and legal references. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly. Thank you, and may God bless you.

Friday, January 7, 2022

Tukio la Kuvunja Fence Yetu Inayopakana na Ndugu Joseph Felix Masika ni Mtiririko Sambamba na Matukio ya Awali Ya Kigaidi Kutaka Kumwaga Damu










September, 1st 2020 Theodomiry Marcelia B-K. Masao a.k.a. Albert P. Masao na wafuasi wake walitupa mawe nyumbani na kuvunja vioo mawe kuingia hadi kitandani kwa Mama. **********" Hili tukio lilitokea wakati wa jioni baada tuu ya Mama Mwl. Felicia na Dada yetu kutoka Mahakamani Uru aliposhitakiwa na Ndugu/Jirani Joseph Felix Masika Masao kua eti Mama, wa miaka 70+ alipanda miti iliyopo jirani na Sisi na kukata hiyo miti *(Siku ya hili tukio la kesi hii ya kubambikizwa, Mama alikua Marangu kwenye Msiba-tulimwacha tuone atafika wapi). Kweli Mama wa Miaka 70+ anaweza kupanda miti ya mpakani na kuikata? * ******** 

Tarehe 3 Septber, 2020, siku mbili baada ya tukio la mawe, ndipo wafuasi wa Theodomiry walitumia nje/nyumbani kwake kama mapito ya kuja kuchomba chumba cha Mama. Ambapo ndio kesi ya kwnza ya matukio mawili ya moto. November 30th 2020 wakarudi tena kuchoma nyumba nzima Mana akanusurika. 

Pamoja na makesi lukuki ya kugushi, familia ya Mwl. Marcelian imekua ikifanya matendo ya kigaidi kwetu sambamba na nia ya familia yao  kuleta mauti kwa familia ya Mwl. Valerian tangia tukiwa watoto, na haswa akisaidiwa na Binamu Dr. Patrik (Carl) Nilsson (Wa Stolkhom Sweden ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช ) na Dr. Deodhatious T.J.Mashitaki (Wa Denver, CO, ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ) and walioanzisha Movement ya haya yanayoendelea, kuwapa support Theodomiry na Familia Mwl. Marcelian kutimiza agenda yao ya kuleta Mauti. ***************** 

Kwanini Dr. Nilsson? Huyu ndugu tumemwona mara moja tuu alipotutembelea nyumbani kwetu kwa wiki 2. Ila 2005 Alituma ujumbe kumshawishi Baba Mkubwa Mwl. John aungane nao kumwua Mama Felicia. *Kwa uungwana wa Baba Mwl. John, aliitisha kikao cha familia, yeye, Auntie Florentina (Mama wa Patrik), Baba Mwl. Valerian na Mwl. Marcelian (Kikao cha ndugu zake na kuonya vikali uthubutu huo).* Baba Mwl. John alitambua na alikua mstari wa Mbele kukemea nia ya Familia ya Mwl. Marceluan kutaka kuleta mauti kwa Familia ya Valerian. Ndio maana punde alipofariki tuu 2012, Kwa Familia ya Mwl. Marcelian walianza kuungana na kutaka kuleta mauti. ************** 

Pia Dr. Nilsson alianzisha kusema vitu vingi vya uongo na uchochezi ili kupanda chuki iwe kubwa zaidi. Kama vile tuliua watu, au tulichukua pesa za mirandi yake na serikali ya Sweden ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช kusaidia Kijiji cha Mnini takribani dola milioni 3...... na mambo mengi ya uongo na kkichochezi, bila ushahidi. Yote ni ya uongo na maangamizi kama vile Familia ya Marcelia inavyofanya kwetu takribani miaka 46 sasa, tangu Mama yetu, Mwl. Felicia aolewe. *********** 

Kwanini Dr. Mashitaki? Nilimhusisha sana kwa undani kwa wanayofanya huko familia ya Mwl. Marcelian. Hakutaka kusikia au kuhusika. Punde 2016, alinijea na kuanza kuhusika kwa kusema ameongea na majirani zetu na Familia ya Marcelian na kua katikati ya shamba letu kua ni *"Barabara"* ya Uma inayonganisha vijijo vitatu (Kishimundu, Mwasi na Mnini). 

Ni Uongo wa maangamizi kukuza na kutapakaza chuki dhidi yetu. Serikali ya Kijiji cha Mnini, Kishumundu, au Mwasi, Wilaya, kata,  Mkoa au Taifa havina ushaidi wa hili la kua shamba letu ni *"Barabara."* Ktk makesi yao yote ya kugushi, hakuna ushaidi, bali ni maangamizi yao waliyo walivyinua. Hawajaanza leo. Ila wana mwisho.

Pia, 2017, Dr. Mashitaki, ktk kikao cha familia ya Balthazar, ambacho familia ya Marcelian walisusia na kutishia kumwaga damu ya Familia ya Mwl. Valerian, Dr. Mashitaki alimtuma Kaka Joseph, kiongozi wa Familia ya Balthazar, kumwuliza Mama ampe mirathi ya Babu Balthzar. Alilolifanya Dr. Mashitaki hapa kama mmoja wa viongozi wa Balthazar family ni mhimili wa kupanda chachu hasi. Alitarajia matukio ya kimaangamizi. ************* 

Kwanini? Babu alifariki 1980, alikya aneshagawa mali zake zote kwa watoto na wajukuu. Baba Leon alifariki 1999, Bibi alifariki 2004, Baba Marcelian alifariki 2007, Baba Valerian alifariki 2008 *(Katika Mazingira ya Utata)* Dr. Mashitaki hakuwauliza wote hawa wahusika (Babu na Baba zetu). Ila aliona ni busara kuja kunshambulia Mama Felicia. Tujiulize, ni kwanini wanafanya yote haya ya uongo na maangamizi kama Familia ya Marcelia inavyofanya kwetu takribani miaka 46 sasa, tangu Mama yetu aolewe?  ************* 

Kwa historia hii fupi, tukio la leo tarehe 7 January 2022, kwa fensi yetu inayopakana na jirani aliyembambikia Mama kesi ya uongo kukata miti yake *(Sio yake ni ya mpakani na hii ni chokochoko)*, ndugu Joseph Felix Masika na moja kati ya watuhumiwa wa katika kesi ya kwanza ya kumchomea Mama Felicia ndani ya nyumba yake, imevunjwa. Baada ya kumbambikizia Mama wa miaka 70+ kupanda miti na kukata, wameona urahizi wa kuendeleza mavamizi. Ni kwanini hawataki fence iwepo? Ili waweze kuingia wao na *(Watu wao wa kutumwa)* na kuleta maamgamizi kwa urahisi. *************** 

Hii fence imevunjwa leo ili kuharibu *Usalama na Kutoa Amani na Imani ambalo ndio Lengo kuu la hawa WanaMovement wa Movement aliyo ianzisha Dr. Nilsson, akisaidiwa na Dr. Mashitaki, na Familia ya Marcelian ktk jitihada zao za kuleta mauti kwenye familia ya Mwl. Valerian.* *************** 

Pia kama historia ilivyo, walipotupa mawe ile September 1 2020, baada ya siku mbili wakaja kutaka kumchomea Mama ndani.  *Ni hawa hawa." Tuwasubirie, kwani Tukio la Kuvunja Fence Yetu Inayopakana na Ndugu Joseph Felix Masika ni Mtiririko Sambamba na Matukio ya Kigaidi Kutaka Kumwaga Damu. 

Uovu wao hautawajenga kamwe. Watashindwa. Mungu halali. Dunia hii bado ina watu wengi wema sana. 


VPELP Reader(s) Signature and Disclaimer: Content of this Blog (ttps://vpelp.blogspot.com) is a “Me Too To retired and widow Mwalimu Felicia H. Moshi” and family, to her oppressors. The content of this blog is protected under the privacy, US First Amendment, and private property laws. Also, the contents of this Blog are mixed opinion/interpretations, views, perception, overreactions, experiences, and feelings by members of Valerian and Felicia Masao’s privileged real-time and real events of their private Family facts, presented by of the Blogger(s). Please help us to raise awareness for the VULNERABLE people. "In God We Trust," and "United We Stand.". Contents of this Blog are intended for reading use only and not permitted for any commercial, publicity, or malicious acts. Reader(s) discretion is of the essence. Do not misrepresent, distribute, print, download, and or copy the content of this Blog without the Blog Administrator’s permission or proper academic and legal references. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly. Thank you, and may God bless you.

Tuesday, January 4, 2022

Kaka Theodomiry Macelian B-K. Masao a.k.a. Albert P. Masao....




Kaka Theodomiry Macelian B-K. Masao a.k.a. Albert P. Masao, usijifanye kua Dada zetu au shangazi zetu ndio wanao amua yanayojiri nyumbani kwako, kwa familia ya Baba Mkubwa Mwl. Marcelian na jirani zetu. Sio kweli. Unafanya nyumbani kwako/Kwa Familia ya Baba Macelian kama uwanja wa mashambulizi yenu nyumbani kwetu, kwa Mwl. Valerian. 

Sio ukweli hata kidogo kua haujahusika na mashambuliza yanayotoka nyumbani kwako. Baba zetu walikua waamuzi wakuu. Leo wameondoka, wewe na mimi ndio waamuzi wakuu *(Kama warithi wakuu wa hii miji miwili tete). Utete umetokana na wewe na mimi kutoelewana au kutotambua nafasi zetu katika miji hii/ *Umejifanya kuchepuka kama vile sio mwemye mji-umejichepua kwa kusema umekabidhi mji/mipaka yako kwa Kijiji cha Mnini. Majirani kupitia kwako kutushambulia- ni deputization (good/bad cop).

 Sasa umekuja. Deputies wamepungua. Karibu na weka dukuduku zako za njia zako za panya hewani/wazi.* Ukweli utakuweka huru (Joh 8:31-2). 

 kwani, Home kwako kuwa uwanja wa mashambulizi kwetu pindi tuu Mzee wetu Mwl. John na kiongozi wa Familia ya Balthazar alipofariki 2012, wewe kuendekeza kuingiza uongozi wa Kijini cha Mnini na wafuasi wako *(majirani et ala)* ni kutivamia na kutaka kupinga suluhu ya Babu Balttazar, Bibi Manyaki na Baba zetu kua kila mtu akae kwenye Boma lake bila kuingiliana. Hii moja ya uvunjifu wa amani na *#Uvamizi wako* na familia yako ya Baba Mkubwa Mwl. Marcelian *Kwetu. 

 Karibu pale ulipo achana nasi sote ktk amani, ile 2017 ulipoa panga kesi zako za kugushi na mavimizi kwetu. Hakuna mchepuko wa kuchepuka kutoka pale ulipotuacha, na unalijua hilo wazi. Utaenda kote, utarudi palepale tulipo achia. Don't get it twisted๐Ÿ™* 

 Hauwezi, na hutaweza kudanganta au *kupotosha hili kwa kila mtu na kila wakati, kamwe.* Wewe umetuonyesha yote hadi *kuchoma nyumba ya Baba/Mama yetu (nyumba yetu) yalikua ni mapito kutokea kwako, kwenye boma lako.* 

Umefungua kesi kibao za kugushi. Muda muafaka zitakua public record. Nikukumbushe tena na tena hii njia/style yako sio ya suluhu. Bado tupo palepale na ufanyayo/uvamizi wako kwetu ni chachu na ina chachuka. Badili mshauri/washauri wako harawa.

 *Hili huwezi kulikwepa, na ni jukumu lako toka kwako kwa ridha yako, nyumbani kwako, na wafuasi wako hadi, tuingie kaburini.* 

 #Vizazi vyetu havitapotoka ktk haya na huu ushetani munao ufanya. Vizazivyetu vita ongozwa na #Ukweli na #Haki, haswa wakati sisi tukiwa hatupo. Na hilo ni jambo jema sana kuombea vizazi vijavyo. Ndio maana tunafanya vitu tofauti na Baba/Mama zetu. Hatufichi ushetani na maangamizi yenu kwetu. Hatu nyamazi kimya kama awali,  na UNAVYOJITAHIDI KWA JITIHADA HATA ZA KUTAKA KUMWAGA DAMU ILI TUSIPAZE SAUTI. Utatusikia tuu. Ni Bado!

 *Toba haiji kwa uendelevu wa upotofu, kutaka kumwaga damu, uvamizi, maangamizi na au kwa kutumia wafuasi wako (deputization of attrocities agaist humanity/wanamovement).* 

Mpotoshaji wa namna yako kama unavyo jitahidi *hajawai kutokea na kutokemewa katika haki na ukweli, na hajazaliwa leo na hatazaliwa kamwe. 

 Karibu sana kaka, ndugu, na jirani yetu, japo unafanya *#Ushetani wako kwetu, bado wewe na wenzio ni majirani tuu.* 

 *Upotoshaji waKo kwetu* sio suluhu ya kudumu, kamwe. Inapita kama, babu/bibi na baba/mama zetu walivyopita, na sisi tunavyopita. Hatuku tegemea ungezaliwa na kua kiongozi wa haya maovu, nasi vivyohivyo hatukutegrme tungezaliwa na kua na ndugu wakutufanyia haya maangamizi. Ila Mungu ndie aliyetufanya tukazaliwa kwenue hii familia, tuna wajibu wetu na ana sababu zake kuu na maususi.

Ila tumeyaona na tunayaishi. #Hautupotoshi #Hautudanganyi #HautupiMatangoPori #HaujawezaKudanyaKilaMtu #HajaumbwaMtuWaKudanganyaKilaMtu. Kila wati. 

Nirdie tena kwako Kaka Theodomiry, Familia ya Baba Mkuwa Mwl. Marelian, Familia ya Babu Blthazary/Bibi Manyaki, Ukoo wa Kiwerana Jamii ya Wana Uru Mnini, suluhu za baina ya hizi familia Mbili kwa Mujibu wa Balthazar Family na Kiwera Family siku zote kwa miaka yote ilikua hivi "Kila Mndu na Mba ya Mae, kuchiwa na na Mondu Pho". 

Maana yake kila mtu na mji wake bila kuingiliana hakutakua na ugomvi. Hao majirani na Serikali ya Kijiji ulipo waingiza ndio exactly kinyume na maamuzi ya Babu, Bibi, Baba zetu na Wana familia walivyoamua enzi za Babu/Bibi na Wazee wetu walivyo amua. Kwanini? Ni kwa sababu zako binafsi na ufuasi wako kwako. Una lako jambo.

Ulienda huko kwa hiyari. Na sisi tuka amua kupaza sauti. #Ukipotosha bado sauti inapaa. Kufanya kitu kile kile ukitegemea majibu/matokeo tofauti......Benjamin Franklin ana tukumbusha vizuri maana yake ni nini. 

Pia, #Hao baadhi ya wana ukoo unao watishia wasiseme #Ukweli au wasisimamie #Haki, ukidhania unatutesa, jichakachue, vyema hii strategy yako. Nayo haita fichika milele. Kama kila jambo, itatambulika tuu, pindi. Wapo wana historia wengi wa aina nyingi na wa nyakati tofauti.

Nikukumbushe tuu kua huko serikali ya kijiji/kata wangekua ni wa muhumu wangehusishwa kwenye Mirathi ya Babu/Bibi na Baba zetu. Ukiweza kufungua mirathi yao ili basi tujumuike sote kama warithi na waajukuu, fanya hima. Ili sote tuanze michakato ya *urithi wa Babu/Bibi na mali zao zote kuchu zilivyogawanywa.* Kwani hata sisi tuna hiyo haki. Sio tuu kwa Mwl. Marcelian, au Mwl. John (Cousin Dr. Deodhathius T. J. Mashitaki alivyojikita), au Mzee Leoni (Kaka Edward Leon alivyojikita) au Auntie Flo (Cousin Dr. Patrik Carl/Nilsson alivyojikita), ndio wenye haki hiyo peke yao kama ndio wasimamizi pekee ya hii mirathi ya Babu/Bibi/Baba zetu peke yao na kua ndio waamuzi peke yao (Ni UPOTOSHAJI WAKO TEDO NA FAMILIA YAKO NA WAFUASI WAKO). Karibuni sana ktk hili.

UTAKAVYO KISHERIA FUATA MIRATHI YA BABU/BABA ZETU Ikubalike na pande zote. TUPO TAYARI KABISAAA. FUATA MSTARI TUIFUNGUE YOTE NA TUITAWANYE TUTAKAVYO KISAWIA/KISHERIA MAANA KUNA WIZI/UKANDAMIZAJI/UTAPELI HAPA. 

NINYI (Kwa Mwl. Macelian) SIO WASTAHILI PEKE YENU MUNAVYO JIGAMBA NA KUJIDAI hapo mndenyi (the audience of one). MUNA MZAZI MMOJA TUU KAZAlIWA NA BABU BALTHAZAR/Bibi Manyaki KAMA SISI SOTE KUCHUUU. HAYA, KARIBUNI! NI AIBU YENU๐Ÿ˜†

"This Time Is Different." Go Figure! 




VPELP Reader(s) Signature and Disclaimer: Content of this Blog (ttps://vpelp.blogspot.com) is a “Me Too To retired and widow Mwalimu Felicia H. Moshi” and family, to her oppressors. The content of this blog is protected under the privacy, US First Amendment, and private property laws. Also, the contents of this Blog are mixed opinion/interpretations, views, perception, overreactions, experiences, and feelings by members of Valerian and Felicia Masao’s privileged real-time and real events of their private Family facts, presented by of the Blogger(s). Please help us to raise awareness for the VULNERABLE people. "In God We Trust," and "United We Stand.". Contents of this Blog are intended for reading use only and not permitted for any commercial, publicity, or malicious acts. Reader(s) discretion is of the essence. Do not misrepresent, distribute, print, download, and or copy the content of this Blog without the Blog Administrator’s permission or proper academic and legal references. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly. Thank you, and may God bless you.