Wednesday, January 19, 2022

Malezi & Mazingira Ni Mifumo Inayojenga Tabia

πŸ‘†πŸΌNimeipenda hii πŸ€πŸΎπŸ€›πŸΌπŸ‘πŸΎπŸ‘ŒπŸ‘†πŸΎ

Ukweli ni kwamba, Ukiwa Mwizi, ukipata upenyo utaiba tuu. Ukiwa msimamia haki ukiona uonevu utaisimamia #haki tuu. Ukiwa mwongo, utaongopa tuu. .......... e.t.c.

**Baba wa Saikolojia ya Behaviorism, John Watson, anatuasa kua tabia ni thibitisho la utu/mtu. Conditioning/malezi hutokana na mazingira. Malezi na mazingira ni mifumo inayojenga tabia ya mtu/watu.*

Nusu ukweli ni uongo. Haki ya mtu ni haki yake tuu. Udokozi ni wizi. 

Ni dhamira. Ni kutoka moyoni. *Baba wa Saikolojia Sigmond Freud alisema "Slip" ni pale mtu anasema au anafanya kitu bila kujitambua, na ndio ukweli halisia bila hujuma.* 

Pia, wanasaikolojia wakongwe nduniani wamepanua/expand *Freudia "Slip"* kupitia *Stimulus-Response (S-R), Condtioning-Response (CS) na Introspections,* na kubaini kuwa *MTU MWENYE NIA MBAYA* akibanwa/akigundulika, huwa ana tabia ya kusingizia watu/vitu vingine au anamfakamia/mvamia *VICTIM WAKE,* gaslighting, badala ya kukiri na #kujirekebisha *(kuomba Toba YA UKWELI).*πŸ€” 

Go Figure!

VPELP Reader(s) Signature and Disclaimer: Content of this Blog (ttps://vpelp.blogspot.com) is a “Me Too To retired and widow Mwalimu Felicia H. Moshi” and family, to her oppressors. The content of this blog is protected under the privacy, US First Amendment, and private property laws. Also, the contents of this Blog are mixed opinion/interpretations, views, perception, overreactions, experiences, and feelings by members of Valerian and Felicia Masao’s privileged real-time and real events of their private Family facts, presented by of the Blogger(s). Please help us to raise awareness for the VULNERABLE people. "In God We Trust," and "United We Stand.". Contents of this Blog are intended for reading use only and not permitted for any commercial, publicity, or malicious acts. Reader(s) discretion is of the essence. Do not misrepresent, distribute, print, download, and or copy the content of this Blog without the Blog Administrator’s permission or proper academic and legal references. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly. Thank you, and may God bless you.

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting usπŸ™πŸ½. Feel free, be happy, do good/right things & remember that sky is not the limit, but your eyes, dogma & imagination/mind are the only limit. My father, Sr. used to say that the mind is the most powerful resource/thing a human being can ever have; use it wisely. It is similar to a common saying that the mind is a terrible thing to waste.