Kaka Theodomiry Macelian B-K. Masao a.k.a. Albert P. Masao, usijifanye kua Dada zetu au shangazi zetu ndio wanao amua yanayojiri nyumbani kwako, kwa familia ya Baba Mkubwa Mwl. Marcelian na jirani zetu. Sio kweli. Unafanya nyumbani kwako/Kwa Familia ya Baba Macelian kama uwanja wa mashambulizi yenu nyumbani kwetu, kwa Mwl. Valerian.
Sio ukweli hata kidogo kua haujahusika na mashambuliza yanayotoka nyumbani kwako. Baba zetu walikua waamuzi wakuu. Leo wameondoka, wewe na mimi ndio waamuzi wakuu *(Kama warithi wakuu wa hii miji miwili tete). Utete umetokana na wewe na mimi kutoelewana au kutotambua nafasi zetu katika miji hii/ *Umejifanya kuchepuka kama vile sio mwemye mji-umejichepua kwa kusema umekabidhi mji/mipaka yako kwa Kijiji cha Mnini. Majirani kupitia kwako kutushambulia- ni deputization (good/bad cop).
Sasa umekuja. Deputies wamepungua. Karibu na weka dukuduku zako za njia zako za panya hewani/wazi.* Ukweli utakuweka huru (Joh 8:31-2).
kwani, Home kwako kuwa uwanja wa mashambulizi kwetu pindi tuu Mzee wetu Mwl. John na kiongozi wa Familia ya Balthazar alipofariki 2012, wewe kuendekeza kuingiza uongozi wa Kijini cha Mnini na wafuasi wako *(majirani et ala)* ni kutivamia na kutaka kupinga suluhu ya Babu Balttazar, Bibi Manyaki na Baba zetu kua kila mtu akae kwenye Boma lake bila kuingiliana. Hii moja ya uvunjifu wa amani na *#Uvamizi wako* na familia yako ya Baba Mkubwa Mwl. Marcelian *Kwetu.
Karibu pale ulipo achana nasi sote ktk amani, ile 2017 ulipoa panga kesi zako za kugushi na mavimizi kwetu. Hakuna mchepuko wa kuchepuka kutoka pale ulipotuacha, na unalijua hilo wazi. Utaenda kote, utarudi palepale tulipo achia. Don't get it twisted🙏*
Hauwezi, na hutaweza kudanganta au *kupotosha hili kwa kila mtu na kila wakati, kamwe.*
Wewe umetuonyesha yote hadi *kuchoma nyumba ya Baba/Mama yetu (nyumba yetu) yalikua ni mapito kutokea kwako, kwenye boma lako.*
Umefungua kesi kibao za kugushi. Muda muafaka zitakua public record. Nikukumbushe tena na tena hii njia/style yako sio ya suluhu. Bado tupo palepale na ufanyayo/uvamizi wako kwetu ni chachu na ina chachuka. Badili mshauri/washauri wako harawa.
*Hili huwezi kulikwepa, na ni jukumu lako toka kwako kwa ridha yako, nyumbani kwako, na wafuasi wako hadi, tuingie kaburini.*
#Vizazi vyetu havitapotoka ktk haya na huu ushetani munao ufanya. Vizazivyetu vita ongozwa na #Ukweli na #Haki, haswa wakati sisi tukiwa hatupo. Na hilo ni jambo jema sana kuombea vizazi vijavyo. Ndio maana tunafanya vitu tofauti na Baba/Mama zetu. Hatufichi ushetani na maangamizi yenu kwetu. Hatu nyamazi kimya kama awali, na UNAVYOJITAHIDI KWA JITIHADA HATA ZA KUTAKA KUMWAGA DAMU ILI TUSIPAZE SAUTI. Utatusikia tuu. Ni Bado!
*Toba haiji kwa uendelevu wa upotofu, kutaka kumwaga damu, uvamizi, maangamizi na au kwa kutumia wafuasi wako (deputization of attrocities agaist humanity/wanamovement).*
Mpotoshaji wa namna yako kama unavyo jitahidi *hajawai kutokea na kutokemewa katika haki na ukweli, na hajazaliwa leo na hatazaliwa kamwe.
Karibu sana kaka, ndugu, na jirani yetu, japo unafanya *#Ushetani wako kwetu, bado wewe na wenzio ni majirani tuu.*
*Upotoshaji waKo kwetu* sio suluhu ya kudumu, kamwe. Inapita kama, babu/bibi na baba/mama zetu walivyopita, na sisi tunavyopita. Hatuku tegemea ungezaliwa na kua kiongozi wa haya maovu, nasi vivyohivyo hatukutegrme tungezaliwa na kua na ndugu wakutufanyia haya maangamizi. Ila Mungu ndie aliyetufanya tukazaliwa kwenue hii familia, tuna wajibu wetu na ana sababu zake kuu na maususi.
Ila tumeyaona na tunayaishi. #Hautupotoshi #Hautudanganyi #HautupiMatangoPori #HaujawezaKudanyaKilaMtu #HajaumbwaMtuWaKudanganyaKilaMtu. Kila wati.
Nirdie tena kwako Kaka Theodomiry, Familia ya Baba Mkuwa Mwl. Marelian, Familia ya Babu Blthazary/Bibi Manyaki, Ukoo wa Kiwerana Jamii ya Wana Uru Mnini, suluhu za baina ya hizi familia Mbili kwa Mujibu wa Balthazar Family na Kiwera Family siku zote kwa miaka yote ilikua hivi "Kila Mndu na Mba ya Mae, kuchiwa na na Mondu Pho".
Maana yake kila mtu na mji wake bila kuingiliana hakutakua na ugomvi. Hao majirani na Serikali ya Kijiji ulipo waingiza ndio exactly kinyume na maamuzi ya Babu, Bibi, Baba zetu na Wana familia walivyoamua enzi za Babu/Bibi na Wazee wetu walivyo amua. Kwanini? Ni kwa sababu zako binafsi na ufuasi wako kwako. Una lako jambo.
Ulienda huko kwa hiyari. Na sisi tuka amua kupaza sauti. #Ukipotosha bado sauti inapaa. Kufanya kitu kile kile ukitegemea majibu/matokeo tofauti......Benjamin Franklin ana tukumbusha vizuri maana yake ni nini.
Pia, #Hao baadhi ya wana ukoo unao watishia wasiseme #Ukweli au wasisimamie #Haki, ukidhania unatutesa, jichakachue, vyema hii strategy yako. Nayo haita fichika milele. Kama kila jambo, itatambulika tuu, pindi. Wapo wana historia wengi wa aina nyingi na wa nyakati tofauti.
Nikukumbushe tuu kua huko serikali ya kijiji/kata wangekua ni wa muhumu wangehusishwa kwenye Mirathi ya Babu/Bibi na Baba zetu. Ukiweza kufungua mirathi yao ili basi tujumuike sote kama warithi na waajukuu, fanya hima. Ili sote tuanze michakato ya *urithi wa Babu/Bibi na mali zao zote kuchu zilivyogawanywa.* Kwani hata sisi tuna hiyo haki. Sio tuu kwa Mwl. Marcelian, au Mwl. John (Cousin Dr. Deodhathius T. J. Mashitaki alivyojikita), au Mzee Leoni (Kaka Edward Leon alivyojikita) au Auntie Flo (Cousin Dr. Patrik Carl/Nilsson alivyojikita), ndio wenye haki hiyo peke yao kama ndio wasimamizi pekee ya hii mirathi ya Babu/Bibi/Baba zetu peke yao na kua ndio waamuzi peke yao (Ni UPOTOSHAJI WAKO TEDO NA FAMILIA YAKO NA WAFUASI WAKO). Karibuni sana ktk hili.
UTAKAVYO KISHERIA FUATA MIRATHI YA BABU/BABA ZETU Ikubalike na pande zote. TUPO TAYARI KABISAAA. FUATA MSTARI TUIFUNGUE YOTE NA TUITAWANYE TUTAKAVYO KISAWIA/KISHERIA MAANA KUNA WIZI/UKANDAMIZAJI/UTAPELI HAPA.
NINYI (Kwa Mwl. Macelian) SIO WASTAHILI PEKE YENU MUNAVYO JIGAMBA NA KUJIDAI hapo mndenyi (the audience of one). MUNA MZAZI MMOJA TUU KAZAlIWA NA BABU BALTHAZAR/Bibi Manyaki KAMA SISI SOTE KUCHUUU. HAYA, KARIBUNI! NI AIBU YENU😆
"This Time Is Different." Go Figure!
No comments:
Post a Comment
Thank you for visiting us🙏🏽. Feel free, be happy, do good/right things & remember that sky is not the limit, but your eyes, dogma & imagination/mind are the only limit. My father, Sr. used to say that the mind is the most powerful resource/thing a human being can ever have; use it wisely. It is similar to a common saying that the mind is a terrible thing to waste.