Friday, January 7, 2022

Tukio la Kuvunja Fence Yetu Inayopakana na Ndugu Joseph Felix Masika ni Mtiririko Sambamba na Matukio ya Awali Ya Kigaidi Kutaka Kumwaga Damu










September, 1st 2020 Theodomiry Marcelia B-K. Masao a.k.a. Albert P. Masao na wafuasi wake walitupa mawe nyumbani na kuvunja vioo mawe kuingia hadi kitandani kwa Mama. **********" Hili tukio lilitokea wakati wa jioni baada tuu ya Mama Mwl. Felicia na Dada yetu kutoka Mahakamani Uru aliposhitakiwa na Ndugu/Jirani Joseph Felix Masika Masao kua eti Mama, wa miaka 70+ alipanda miti iliyopo jirani na Sisi na kukata hiyo miti *(Siku ya hili tukio la kesi hii ya kubambikizwa, Mama alikua Marangu kwenye Msiba-tulimwacha tuone atafika wapi). Kweli Mama wa Miaka 70+ anaweza kupanda miti ya mpakani na kuikata? * ******** 

Tarehe 3 Septber, 2020, siku mbili baada ya tukio la mawe, ndipo wafuasi wa Theodomiry walitumia nje/nyumbani kwake kama mapito ya kuja kuchomba chumba cha Mama. Ambapo ndio kesi ya kwnza ya matukio mawili ya moto. November 30th 2020 wakarudi tena kuchoma nyumba nzima Mana akanusurika. 

Pamoja na makesi lukuki ya kugushi, familia ya Mwl. Marcelian imekua ikifanya matendo ya kigaidi kwetu sambamba na nia ya familia yao  kuleta mauti kwa familia ya Mwl. Valerian tangia tukiwa watoto, na haswa akisaidiwa na Binamu Dr. Patrik (Carl) Nilsson (Wa Stolkhom Sweden πŸ‡ΈπŸ‡ͺ ) na Dr. Deodhatious T.J.Mashitaki (Wa Denver, CO, πŸ‡ΊπŸ‡Έ) and walioanzisha Movement ya haya yanayoendelea, kuwapa support Theodomiry na Familia Mwl. Marcelian kutimiza agenda yao ya kuleta Mauti. ***************** 

Kwanini Dr. Nilsson? Huyu ndugu tumemwona mara moja tuu alipotutembelea nyumbani kwetu kwa wiki 2. Ila 2005 Alituma ujumbe kumshawishi Baba Mkubwa Mwl. John aungane nao kumwua Mama Felicia. *Kwa uungwana wa Baba Mwl. John, aliitisha kikao cha familia, yeye, Auntie Florentina (Mama wa Patrik), Baba Mwl. Valerian na Mwl. Marcelian (Kikao cha ndugu zake na kuonya vikali uthubutu huo).* Baba Mwl. John alitambua na alikua mstari wa Mbele kukemea nia ya Familia ya Mwl. Marceluan kutaka kuleta mauti kwa Familia ya Valerian. Ndio maana punde alipofariki tuu 2012, Kwa Familia ya Mwl. Marcelian walianza kuungana na kutaka kuleta mauti. ************** 

Pia Dr. Nilsson alianzisha kusema vitu vingi vya uongo na uchochezi ili kupanda chuki iwe kubwa zaidi. Kama vile tuliua watu, au tulichukua pesa za mirandi yake na serikali ya Sweden πŸ‡ΈπŸ‡ͺ kusaidia Kijiji cha Mnini takribani dola milioni 3...... na mambo mengi ya uongo na kkichochezi, bila ushahidi. Yote ni ya uongo na maangamizi kama vile Familia ya Marcelia inavyofanya kwetu takribani miaka 46 sasa, tangu Mama yetu, Mwl. Felicia aolewe. *********** 

Kwanini Dr. Mashitaki? Nilimhusisha sana kwa undani kwa wanayofanya huko familia ya Mwl. Marcelian. Hakutaka kusikia au kuhusika. Punde 2016, alinijea na kuanza kuhusika kwa kusema ameongea na majirani zetu na Familia ya Marcelian na kua katikati ya shamba letu kua ni *"Barabara"* ya Uma inayonganisha vijijo vitatu (Kishimundu, Mwasi na Mnini). 

Ni Uongo wa maangamizi kukuza na kutapakaza chuki dhidi yetu. Serikali ya Kijiji cha Mnini, Kishumundu, au Mwasi, Wilaya, kata,  Mkoa au Taifa havina ushaidi wa hili la kua shamba letu ni *"Barabara."* Ktk makesi yao yote ya kugushi, hakuna ushaidi, bali ni maangamizi yao waliyo walivyinua. Hawajaanza leo. Ila wana mwisho.

Pia, 2017, Dr. Mashitaki, ktk kikao cha familia ya Balthazar, ambacho familia ya Marcelian walisusia na kutishia kumwaga damu ya Familia ya Mwl. Valerian, Dr. Mashitaki alimtuma Kaka Joseph, kiongozi wa Familia ya Balthazar, kumwuliza Mama ampe mirathi ya Babu Balthzar. Alilolifanya Dr. Mashitaki hapa kama mmoja wa viongozi wa Balthazar family ni mhimili wa kupanda chachu hasi. Alitarajia matukio ya kimaangamizi. ************* 

Kwanini? Babu alifariki 1980, alikya aneshagawa mali zake zote kwa watoto na wajukuu. Baba Leon alifariki 1999, Bibi alifariki 2004, Baba Marcelian alifariki 2007, Baba Valerian alifariki 2008 *(Katika Mazingira ya Utata)* Dr. Mashitaki hakuwauliza wote hawa wahusika (Babu na Baba zetu). Ila aliona ni busara kuja kunshambulia Mama Felicia. Tujiulize, ni kwanini wanafanya yote haya ya uongo na maangamizi kama Familia ya Marcelia inavyofanya kwetu takribani miaka 46 sasa, tangu Mama yetu aolewe?  ************* 

Kwa historia hii fupi, tukio la leo tarehe 7 January 2022, kwa fensi yetu inayopakana na jirani aliyembambikia Mama kesi ya uongo kukata miti yake *(Sio yake ni ya mpakani na hii ni chokochoko)*, ndugu Joseph Felix Masika na moja kati ya watuhumiwa wa katika kesi ya kwanza ya kumchomea Mama Felicia ndani ya nyumba yake, imevunjwa. Baada ya kumbambikizia Mama wa miaka 70+ kupanda miti na kukata, wameona urahizi wa kuendeleza mavamizi. Ni kwanini hawataki fence iwepo? Ili waweze kuingia wao na *(Watu wao wa kutumwa)* na kuleta maamgamizi kwa urahisi. *************** 

Hii fence imevunjwa leo ili kuharibu *Usalama na Kutoa Amani na Imani ambalo ndio Lengo kuu la hawa WanaMovement wa Movement aliyo ianzisha Dr. Nilsson, akisaidiwa na Dr. Mashitaki, na Familia ya Marcelian ktk jitihada zao za kuleta mauti kwenye familia ya Mwl. Valerian.* *************** 

Pia kama historia ilivyo, walipotupa mawe ile September 1 2020, baada ya siku mbili wakaja kutaka kumchomea Mama ndani.  *Ni hawa hawa." Tuwasubirie, kwani Tukio la Kuvunja Fence Yetu Inayopakana na Ndugu Joseph Felix Masika ni Mtiririko Sambamba na Matukio ya Kigaidi Kutaka Kumwaga Damu. 

Uovu wao hautawajenga kamwe. Watashindwa. Mungu halali. Dunia hii bado ina watu wengi wema sana. 


VPELP Reader(s) Signature and Disclaimer: Content of this Blog (ttps://vpelp.blogspot.com) is a “Me Too To retired and widow Mwalimu Felicia H. Moshi” and family, to her oppressors. The content of this blog is protected under the privacy, US First Amendment, and private property laws. Also, the contents of this Blog are mixed opinion/interpretations, views, perception, overreactions, experiences, and feelings by members of Valerian and Felicia Masao’s privileged real-time and real events of their private Family facts, presented by of the Blogger(s). Please help us to raise awareness for the VULNERABLE people. "In God We Trust," and "United We Stand.". Contents of this Blog are intended for reading use only and not permitted for any commercial, publicity, or malicious acts. Reader(s) discretion is of the essence. Do not misrepresent, distribute, print, download, and or copy the content of this Blog without the Blog Administrator’s permission or proper academic and legal references. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly. Thank you, and may God bless you.

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting usπŸ™πŸ½. Feel free, be happy, do good/right things & remember that sky is not the limit, but your eyes, dogma & imagination/mind are the only limit. My father, Sr. used to say that the mind is the most powerful resource/thing a human being can ever have; use it wisely. It is similar to a common saying that the mind is a terrible thing to waste.