Sunday, March 8, 2015

Yaliyo Na Yanayo Jiri Baina Yetu Na Auntie Florentina Masawe, Cosin Bernadin Massao na Dominic Massao

Tuna zidi kushangaa, kesi yenu mulibyo ipeleka kwani Mama au Sia ndio wahusika? Vichwa hivi vitatu munavyojiita ndio ukoo mzima wa Masao ya Kiwera mulishindwa kujua hilo kweli? Yaani hamukjua hilo kabisaa? Au mulidhania mama yetu hajui mipaka yake? Tunajiuliza tunashangaa na kushangazwa na hivi vituko vyenu. Yuko wapi Babu, Manyaki na watoto wao ili wakupeni ninyi watatu vipande vyenu.

Kama kawaida yenu, chuki yote ni kwa mama yetu mjane kwasababu eti ni Mmarangu na sisi sote hattupo hapo ndio munadhania mumepatacnafasi ya kumkera. Ninyi watatu kwenye kikao mukathibutu kusema eti "mama yetu anakuja kunang'ania ardthi Uru na aliolewa kwaajili ya ardthi. (TUNAWAKUMBUSHA MAMA na BABA WALIPEWA ARDTHI NA BABU WA MARANGU KARIBU HEKA 3 HUKO MAWANDA WAKAKATAA WAKASEMA WANAZO ARDHI ZA KUTOSHA, USIJIKWEZE KUWA WEWE PEKE YAKO NDIO ULIYEPEWA ARDHI-LABDA HAO NYUMBANI URU) Huyu ni mama yetu, aliyeishi na kumtunza Babu, kila mwana ukoo na jamii wanajua hali ya Babu Balthazar kabla ya Mama kuolewa au kuhama kutoka Rombo ili kuja kumlea na kumtunza Babu. Usidhanie kwasababu ninyi watatu mumesahau na ulimwengu umesahau. Pia huyu ni mwanamke na kizazi chake kilimlelea na kumtunza Bibi Manyaki KWA DHATI. Munathubutu kusema aliolewa kwaajili ya "Ardthi"? HIKI NI KICHEKESHO KABISAA! Teana kituko. Auntie Florentina usitake niseme mingi zaidi hapa upenuni kuhusu ndoa. Mwenye nyumba ya glass asianze ugonvi kwa kutupiana mawe.

Unajua Auntie una tabia ya kusema kwa wengine yale unayo yafanya wewe.  Anayenang'ania ardhi ni wewe Auntie Florentina Masawe na Bernadin Massao. Na wewe ndie ulinayeleta vurugu vurugu nyumbani kwetu, sio Sia au Mama yetu toka Marangu unavyosema. Ndio huko kijijini na kwenye kata watakupa KILEMBA CHA UKOKA MAANA MCHEZA KWA HUTUNZWA. Lakini, hapo ndio break. Munayoyafanya yanatokana na fikara zenu zinazotokana na ninyi kutekwa na chuki, wivu na tamaa amvyo mumekua navyo dhidi ya Baba yetu kabla hata mama hajaolewa. Hatutegemei viishe leo au kesho.

Pia kisa cha kwenda kumtukana Sia amemwacha mume wake na kuja nyumbani kunang'ania ardhi ni dhahiri ninasema kuhusu wewe kuwa "UNATABIA YA KUWASINGIZIA WENGINE UNAYO/ULIYOYAFANYA". Alieanza kumtaliki mume ni Sia au ni wewe Auntie? Sema ukweli hapa. Na aliyemwacha mumewe na kukimbilia Tanzania kunag'ania ardhi za kaka yake ni nani? Ukweli tunsujua na ni dhahiri kama ushaidi unahotajika upo.

Eti "Sia umekuja kutuonyesha matiti hapa". Auntie matiti yako uliyafungia kabatini ndio ukaenda kwenye kikao? Na haya ni mambo ya kwenda kusema kwenye kata kweli? Hao wapambe wako Bernadin na Dominoc walivyokaa kwenye hiki kikao cha kata na kufumbia macho huu utumbo ndio watupa meanya wa kuwahusisha kwenye kila uovu maana munasafiri njia za panya na upenuni mtatokezea. Usingesema haya tusingeandika hapa. MUMEJITAKIA HAYA NINYI WENYEWE. Mtu akiambia ale mavi akala asimlalamikie mtu mwingine kwa kitendo chakr hicho. Na atakayepinga haya hayakusemwa nataka turudi pale kwenye kata. Kila mmoja aliyekua kwenye kikao achukue test za msema ukweli au uongo kwenye mashine. Tutaomba order ya mahakama itolewe ili kila mmoja achukue hii test. Tupate ukweli.

Tumekua tukikuambia ulikua una nguvu kama shangazi kumwita Sia na kumkalidha chini usikie anayosema na wewe umpe udhauri. Ila wewe Auntie huwezi kufanya hivyo japo mamlaka hizo unazo kwasababu umetawaliwa na chuki, tamaa na wivu. Ulikua una heshima sana na unavyozidi kuchukulia haya mambo,  sisi vitoto vidogo tutaku challenge matendo yako yasiyo na haki, au heshima au utaratibu wa kifamilua au amani au upendo dhidi ya yeyote yule tunayehusika nae directly. Wewe ulitakiwa uwe kiongozi. Ulitakiwa ukisema kitu kila mtu anasikiliza. Ungeita kikao cha wajukuu wote wa Balthazar na wana Kiwera tuje tukisikilize. Lakini kwasababu ya agenda zako za siri umedhindwa kutumia busara. Unamsababisha Sia anaonekana kuwa na busara kuliko wewe na usomi na experience yako ya maisha yako yore bwana.

Tunakwambieni haya ninyi wana ndugu kwakua tunakupendeni. Ila hao waliokusikiliza toka kijijini na kaya na haswa huyo Bernadin Marselian Massao na Dominic Massao wake hawakuthamini wewe Auntie. KUNA VITU BERNADI NA DOMINIC WANA LENGA WAPATE KUTOKA KWAKO AUNTIE, MAANA NI KWANINI KWELI WAKUACHIE UENDE NJIA WANAYOJUA UTAGONGA MWAMBA? WANAKUTOKOMRZA HAWA WATU. HAWAKUTAKII JEMA HATA CHEMBE. Wanathamini matumbo na mifuko yao tuu. Wangeweza kukuambia ukweli.

HUSUSANI Bernadin angeweza kusema "sifanyi kitu chochote cha mji wa baba mdogo Valerian" na kututaarifi sisi directly.  Unadhani angeshindwa? YEYE NA MATAMAA, WIVU NA CHUKI ZAKE ALIDHANIA ATAMWULIA MAMA PALE NA ANAJINYAKULIA NYUMBA ZOTE BA MASHAMBA YOTE. TAMAA YA FISI KUNYEMELEA MKONO WA MWANADAMU ULIOBEBA MKUKI. MATOKEO YAKE FISI ANAPOJARIBU KUUNYAKUA MKONO ANAPIGWA MKUKI.

Kama kawaida yenu ninyi watatu muna sahau kuwa sisi ndio wahusika wakuu na munavyomlenga mama munakosea. Lakini ninyi hsmusikilizi kwani munaendeshwa na ramaa, wivu na chuki. Anzeni kuendeshwa na akili na mioyo yenu. Safisheni nira zenu. Muna shangaa zsana mbona hawa watu vado wana upendo na munatetrndea maovu mskali hivi? Kwasababu kuna Yesu. Tunamwachia Ysu matatizo tetu yote. Tunanmwachia mungu Vita vyetu vyote. Yeye ni Amiri Jeshi Mkuu. Karibuni kwetu sisi, Watoto wa kiume, wahusika wakuuu. Mulipotea njia. Rudini kwenye mstari. Labda kipindi hiki cha Kwaresma munaweza kukitumia ili kurudi mstarini.

BERNADIN, KUMBUKA HILI VIZURI SANA, HAKUNA LIFANYIKALO SIRINI LISILOTOKEA UPENUNI. HARAKATI ZAKO HIZO ZA KUUVAMIA NA KUTUDHURU TUMEMWACHIA MUNGU. OLE NI WAKO. KANUNUENI WATU WA KUNIUA KAMA MULIVYOKWISHAONGEA NA WENGI WAKATEMA SIRI. RUDIA KUSOMA UJUMBE WANGU WA MWAKA 20014. UTAONA NILIPOSEMA MUNAYOYAFANYA. DUNIANI BADO KUNA WATU WACHA MUNGU NA WENYE NIA NZURI KWA KILA BINADAMU.

Mungu awabariki nyote. Aiguse mioyo yenu ikapate kupata smani na kuponyeka.  Na tuna waombea sana kwani Yesu ni njia ya uzima na ukweli. Tutazidi kukuambia ukweli na hali halisi. Sisi sio wanafiki na hatusafiri njia za panya, bali tunaishi kwa agano la Mungu na litimie.

2 comments:

  1. Jamani nani alipeleka haya mambo kwenye kijiji na Kata au serikalini bila kuyamaliza kwenye ngazi ya familia? Kwa taarifa yenu, sheria za Ardhi nchini Tanzania, hata mukifika Makao Makuu, bado mutarudishwa kwenye gazi ya familia. Kwasababu hii ardhi ni ya kurithishwa katika vizazi vitatu. Na kama sijakosea Valerian II naye kashaonyesha kumrithisha mwanae, itakua vizazi vinne. Hakuna maandishi au shaidi yeyote, bali 'COMMON LAWS" na "CUSTOMARY LAWS". Mahakama haina ushaidi.

    Aliyepeleka hii kesi kwenye serikali bila kutumia Familia, wahusika wakuu, amejipalia mkaa maana hakuna kitakachoamuli kwa urahisi bila kutanguliwa kwenye Rufaa.

    ReplyDelete
  2. Mumeshatao taarifa Polisi na vyombo vya sheria ili huyu mnyama anayetenda haya yote kwa ndugu zake achukuliwe hatua? Kama bado hamujafanya hayo, toeni taarifa mapema sana iwezekanavyo.

    Mtu akikutishia na au kukuingilia nyumbani sio mtu mzuri kabisaa. Hata kama ni ndugu. Tena ndugu ndio wabaya kabisaa na wana weza kukumalizia mbali wakidhania hakuna anayeweza kuwashuku kuwa ndio maadui. Na hata mtu akiwashuku, bado inakua vigumu kwadhibiti maana utakutana nao kwa ndugu wengine. Na kama kuna ushikiano na ndugu wengine kwa ndugu mwovu, hapo kazi inakua ngumu. Ukizingatia na mila na Desturi Zetu Waafrika, mila nyingine zinaumiza sana wanyonge

    ReplyDelete

Thank you for visiting us🙏🏽. Feel free, be happy, do good/right things & remember that sky is not the limit, but your eyes, dogma & imagination/mind are the only limit. My father, Sr. used to say that the mind is the most powerful resource/thing a human being can ever have; use it wisely. It is similar to a common saying that the mind is a terrible thing to waste.