Saturday, April 4, 2015

Fundisho Kwa Ndugu Yetu Bernadin Marselian Massao ktk Kwaresma Hii Ya April 2015; Funguka!

Ndugu yangu Bernadin, kwenda kulalamikia watu kuwa Sisi Wana Valeria Family tunakuonea, tumkutenga, tunakutukana na  na tunakuiita Jambazi sio suluhu sahihi baina yako na familia yetu kwa uliyo na unayoyatenda. Ila wewe ni mtu mzima na unajua unachokifanya. Vivyo hivyo nasi tuu watu wazima. Eti unasema hajui umefanya nini kikubwa kutendewa hivyo.  Ni kweli hujui ulicho na unachokifanya? Kwahiyo sisi Wana Valeria ni vichaa na wenda wazimu tulikurupuka siku moja na kusema Bernadi Asije nyumbani kwetu? Kwanza unazidisha chuki kwa kusema uongo huu mtakatifu. Tumekutukana wapi? Au kuambiwa ukweli kwako wewe ni tusi? Kama ndivyo basi kaa kwako usije kwetu maana kwetu tunaambiana ukweli. Ndio maana ya undugu na upendo wa ukweli. Usilalamike kua sisi kuchukua hatua tunazozichukua kukudhibiti wewe na matendo yako kwetu. Uliyo na unayofanta sio kuwa na amani na upendo wa kindugu. Funguka ndugu yangu. Toka kwenye njia zako hizo za panya ukutane na Mwanga na Ufunuo. Haya unayolia ni machozi ya Simba au Mbogo angali nia yako sio kulia uchungu bali ghadhabu la kutaka kutumaliza.

Badala ya kukiri na kumtafuta Mungu akuponye Kwaresma hii wewe bado unatafuta wafuasi wengine waendeleze harakati zako hizo za njia ya PANYA. Hujakiri na matendo yako ni dhahiri huna nia au mpango huo. Nakusoma sana akili na mwenendo wako ndugu yangu. Wewe kwako unadhani huu ni utani au mchezo wa makidamakida. 

Kumbuka ndugu yangu Bernadi una haki ya kuitisha kikao cha Familia zetu mbili, familia ya Balthazar au ukoowa Kiwera. Kwani wewe ni mwana ukoo mwenzetu. Ila kwa matendo yako na Mama yetu hutakaa kikao naye. Sisi wanaume wa maboma yetu tukae tuangaliane udoni tuambiane ukweli na kila mtu atambae kwake. Hakuna unafiki hapa. Kumbuka wewe Bernadin au mtu yeyote hana haki na au mamlaka za kutulazimisha sisi Wana Valerian Family kukubalia wewe Ben au Auntie Flo muje nyumbani kwetu. Mnataka nini nyumbani kwetu? Kuna almasi? Roho zetu zinathamani zaidi ya Almasi au mali za dunia hii na haziitaji uchafu wenu huo unaotuletea karaa. Sababu hatukutakini ni kutokana nia na dhamira zanu mbaya dhidi yetu. Unafiki, Tamaa na Wivu uliomtawala munaweza kukufanyeni musababishe madhara dhidi yetu na hata kusababisha KIFO.

Hii sio siri tena kama enzi zile za nyuma. Matendo na dhamira yanu kwetu vinajulikikana na tunavichukuli vilivyo. Hatuna cha kuongeza au kupunguza kwenye matendo na dhamira zanu. Tulionya haya tangu 2009. Ni dhahiri miaka yote 4 na hadi sasa miaka 6 hakuna ambalo hatukufanya jitihada ya kuzuia kufikia hali hii. Sisi hatuna kosa kuishi kwetu na kulinda haki na nyumbani kwetu. Haturudi nyuma. Tunasonga mbele. Hatutakaa tuweze kurudisha sekunde au dakika au lisaa au siku au wiki au mwezi au mwaka nyumba tukaishi tena kwa mara ya pili. Kwahiyo ya nini kupoteza muda kuhusu aliyoyafanya Ben au Flo? Period, end of the story."

Hii kitu tumekua tukiiona na kuiangalia kila siku tangia utotoni. Sio kitu ambacho hakikua kwenye akili au mioyo yetu. Tulikua tunasononeka na kutaabika jinsi Mama na Baba yetu walivyokua wakitendewa na kusemwa na watu ambao walikua wanakuja kulia shida na bado wanakuja kulia shida na wazazi wetu waliwasaidia na kuwapenda kwa dhati. Nadhani wanasahau kua sisi ni bibadamu na tuna maamuzi yetu. Bernadin anataka kutupangia maamuzi yetu, haki zetu na nyumbani kwetu tufanye atakavyo yeye na sio tutakavyo sisi. Sidhani kama kuna cha kurudia hapa. Ila nadhani tuna Haki, Akili na Utashi alivyotupa Mwenyezi Mungu; mwanadamu hana mamlaka nasi. 

Ila kwa Ndugu yetu Bernadin yeye anaona hakuna kosa lolote alilofanya na tena anaweka mazingira ya kulazimisha aje nyumvani kwetu kwa nguvu. Bernadin, endelea ukiota ndoto za mchana kwani hujui hata mchana ni upi angali ukiwa unasafiri njia zako hozo za panya. Utamulikwa na mwangaza pindi ukitoka kwenye njia zako hizo.  Sisi tunakuombea sana na Mungu akumulike kwa mwanga wa Roho Mtajatifu, ili ufunuo wake ukujee na kukutaeala daima. 

Kwa pamoja, TUNA MKATAA SHETANI NA UJANJA, UONGO, ULAGHA, MITEGO NA MBINU ZAKE ZOTE. 

Happy Easter.  AMINA!

3 comments:

  1. Usione watu wamenyamaza kimya. Makwao wana makuu kumbe. Nilidhania ya kwetu ni makubwa na nikatamani kweli kuwa na amani, upendo na utulivu kama hawa wajukuu Wa Balthazari.

    Kumbe ya kwao ni makubwa zaidi. Huyu jamaa Bernadin alivyokua anatamba hapa mtaani kuwa watoto wa Clif wananipenda wamenijengea na nyumba na wananinunulia na gari.

    Tena akamkana na kaka yake Tedomiri kuwa amemsusa na hamsaidii kitu isipokua watoto wa clif tuu.

    Kumbe huyu jamaa bado ni nyoka yule yuile siku zote ameendekeza uhalifu na vitisho.

    Jamani nyoka ni nyoka tuu. huyu mtu kweli huwezi kumwamini aisee.

    ReplyDelete
  2. Ni kweli, kila familia ina vitilimo vyake. Dunia ya leo inabidi kujihami.

    ReplyDelete
  3. Wajameni, mwangalieni huyu mtu na mwenendo wake. Hii tamaa yake inaweza kuleta madhara. Waswaili walisema "kikulacho kii nguoni mwako". Musimfanyie mzaha maana anawatumia ndugu hao hao kuwasambaratisha akijua utengano baina ya ndugu ndio nguvu na ushindi kwake. Kwani anafahamu fika kuwa ninyo ndugu mukiungana basi ndoto zake za ulaghai na ufisadi kwa ndugu zimekwisha. Mbio za panya ni ukingoni lakini panya akiachiwa huru sana huleta madhara makubwa. Naye huyu mtu mukikubali azidi kuwa tawanya na kuwachambua kama njegere, basi kumbukeni kuna madhara makubwa. Mdhibitini ipasavyo kama ndungu yenu. Musikubali maneno na njia zake hizo za kitapeli na kinafiki.

    ReplyDelete

Thank you for visiting us🙏🏽. Feel free, be happy, do good/right things & remember that sky is not the limit, but your eyes, dogma & imagination/mind are the only limit. My father, Sr. used to say that the mind is the most powerful resource/thing a human being can ever have; use it wisely. It is similar to a common saying that the mind is a terrible thing to waste.