Thursday, March 5, 2015

Jamani Auntie Florentina Masawe, Cousin Bernadin Marselian Massao & Domini George Massao

Jamani Auntie Florentina, cousin Bernadin Massao na Dominic George Massao. Hawa watu wanapotosha Ukoo na Jamii kwa ujumla. Wanatumia vyombo vya serikali kama kijiji na kata kuendeleza wivu, tamaa, chuki na uovu wao kwa Familia ya Mwalimu Valeria Sr. Wanadanganya kila mtu iliradi washinde. Musisahau "Yesu ndio Njia ya uzima na ukweli" peke yake. Kama Flo amekua Yesu kwenu, basi Dominic na Ben tunawakumbusha kuwa kuna Yesu Kristu aliyesulubiwa pake msalabani kwaajili ya dhambi zetu na tunamhimidi Kwaresma hii. Amekuja kutuokoa sote ikiwemo na ninyi watatu. Tubu leo bado una nafasi. Usikubali ta dunia hi yanyakue roho yako na usitaabike na ya malimwengu.

Kwetu sisi Wa Masao Ya Kiwera tunajiuliza Auntie Florentina, Cousin Bernadin Marselian Massao na Dominic George Massao ndio tuu Wa na ukoo wa kutuwakilisha kwenye vyombo vya serikali? Hili swali ni kwa hawa watatu, na sio ajabu kuwa wana vielelezo vya uhalifu katika maidha yao. Usiache mbachao kwa msala upitao. Haya yote yatapita.

Tunaanza kuzungumza na kutoa ukweli sio huo mulioutengeneza kwenye njia zenu za panya. Mwouvu nan? Mfano, Bernadin aliyefungwa mara tatu na kutuhumiwa mara kibao tangu utotoni? Anayefanya uhalifu wa kila aina hapo mtaani? Anaye nyanyasa wadogo zake na Mama mjane kiunafiki? Anayeplan watu kuja kuvamia nyumbani kwa ndugu zake wanaomdhamini na kumchangia kiasi kikubwa kujenga nyumba yakr?  Au ni familia ya Valerian ambao hawajswai hata kuiba sindano ya mtu au kumtukana mtu bali kuendeleza upeno wa wazazi na babu zetu? Kumbuka Yesu aliuluza ule uma uliotaka kumsulubu yule mama Malaya " asiye na dhambi awe wa kwanza kumrudhia jiwe". Nasi Wana Vakeria Family twasema "UKIWA NA NYUMBA YA GLASI USIANZISHE VITA VYA KURUSHIANA MAWE". Go Figure!

Pia je! Anayetumiwa kama bendera nani? Dominic George Massao au Familia ya Valerian?. Kwa taarifa yako tumesimama imara na endeleeni na vikao vyenu vya kijiji na kata na kututukana mle matusi ya nguoni ksma kawaida yenu. Waliokuwepo kwenye hivyo vikao kijijini na kwenye kata na kusikia nyie watatu mukimtuka mama na dada yetu wanaujua ukweli. Na mumeweka wazi ninyi ni watu wa namna gani katka jamii. Hili linaingia kwenye records za Ukoo na Dunia nzima jinsi mulivyo na nia zenu zilivyo. Endeleeni kusafiri njia za panya. Mwanga wa Bwana Yesu kama ilivyo kwenye ufunuo, kitabu cha mwisho cha Biblia, utakuumbueni.

Munavyowatumia hawa watu lakini ukweli Wa Masao Wanaujua. Wa Massai hatupo kama ninyi watu 3. Wamasao tuna heshima na hadhi kwenue jamii yetu. Na matusi munayoyatoa humo, yatawaumbua. Hawa wa serikalimi wanawaona ninyi ni watu wa ajabubu sana. Badala ya kutumia ukoo wenu kuongelea mambo ya ukoo wenu munatapatapa vijijini na kwenye Kata kuongelea ya majumbani na ukoo wenu. Sasa tukutane mahakamani ambapo ukweli ni kwamva hatujawakilishwa kwenye kijiji au kata.

Mulianza kumwingilia Baba kabla hajao, kutaka kumpangilia mke na akatia ngumu. Mukaendelea na visa vyenu alipomwoa mama. Mukaanaza speed zenu za agenda yenu ya siri baada ya baba kufariki. Na mukawa na confidence zaidi ya kutuvamia 2012, baada ya Mshaidi wa mwisho-Mwalimu John B. Masao kufariki, R.I.P. Uncle John. KWASABABU ANGEKUWEPO HAI HUU UJINGA WENU USINGEFIKA HATABKWA BALOZI BILA KUPIGWA STOP YA SHAHIDI NA MHUSIKA MKUU KIONGOZI WA FAMILIA YA BABU BALTHAZAR. Mulisubiroa hadi Mwalimu John alipofariki ndio mukaanza kufanya harakati zenu za huu ujinga wa kutuvamia. Na kuanza kwenda vijjini na kuja kujiwekea mipaka bila ya Sisi Watoto Wa Kiume ambao ndio wamiliki wa Ardhi kuwepo ILI MUTENGENEZE USHAIDI AMBAO HAMUNA TOKA KWENYE FAMILIA. Jiulizeni mulikua munaweka hiyo mipaka na nani? Milidhania munakuja kumtapeli ardhi mama MJANE na kumtishia vitisho. HATUKUJUA SISI KUTOKUA HAPO TUNGWEZA KUWATILIA NGUMU KATIKA HRAKATI ZENU ZA NJIA YA PANYA.

Tulikua tunawasubiria hadi ukingoni maana ardhi sio karanga au peremende mtu  ajinyakulie tuu. Tuliwaonya kwenye barua yetu ya April 2012, na January 2014. Na kupendekeza tupewe muda ili sisi, Wanaume wenye kumiliki ardhi, tuweze kuwasilisha maamuzi yetu kwenye vikao vyenu hivyo vya njia za panya. Mulipuuzia na Hamukusikia. Sasa ninyi musijifanye munashangaa leo hii sisi kuutumia umma mulioupelekea mambo haya ya nyumbani ipasavyo kuwakosoa vikali. Nilisema kila kitu kitafanyika ‪#‎UPENUNI‬. ‪#‎HATUENDINJIAZAPANYA‬"THIS TIME IS DIFFERENT".

Anayetumiwa kama bendera nani? Dominic George Massao au Familia ya Valerian?. Tumesimama imara na endeleeni na vikao vyenu vya kijiji na kata na kututuka mle matusi ya nguoni. Waliokuwepo kwenye hicho kikao cha kata wanaujua ukweli ninyo ni watu wa namna gani. 

Kumbukeni kuwa "Yesu ndio njia ya uzima na ukweli" tuu. Sio Auntie Florentina Masawe au Bernadin Marselian Massao au Dominic George Massao. "Ko wandu kuore shiria" Bibi Manyaki alikua akisema hivyo. 

Mubarkiwe sana tuu. Hatuwachukii. Ila yunachukizwa sana na tabia na matendo yenu. Kila mmoja wenu, kati yenu ninyi WATATU, munalijua hilo. Katika maisha tumewatendeeni wema, Upendo na haki na hivi ndivyo munavyotulipiza? Hatushangai maana tunatenda wema na kuenenda zetu na hatutegemei shukrani. Damu ya Yesu iwatakase.


Disclaimer. Content of this Blog/Web is intended for reading use only and may contain privileged, confidential, or proprietary information that is exempt from disclosure under law. Reader(s) discretion is required of essence. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly by profile e-mail and or comment line. Content of this blog are protected under the privacy, 1st amendment and private property laws. Do not distribute, print, download and or copy content of this Blog without Blog Administrator’s permission or proper academic references to Fatherhood Life Blog. Also contents of this Blog are personal opinion, views, perception and private or Public observations of the Blogger(s). Thank you and may God bless you and The United States Of America. "In God we Trust" and "United We Stand".

1 comment:

  1. Shangazi mtu hapa angetumia nafasi yake kama mtu mzima na heshima zake kuita wapwa zake na kukaa chini kuyamaliza haya matatizo katika ngaziya familia. Laikini naona hapa Shangazi mtu ndie katoka nje ya familia na kwenda kwenye ngazi za serikali, kibaya zaidi kashirikiana na huyu Mpwa mmoja kufanya harakati hizi. Shangazi mtu na Mpwa huyu mmoja ni dhahiri wana hila na wanajua ndugu wengine wa ukoo au Wapwa wengine wakihusishwa kikamilifu watangundulika katika hila zao. Na hali hii imepelekea hawa wanafamilia kuwadhibiti ipasavyo.

    Huu ni mfano wa kuigwa. Maana wako wengi sana kwenye jamii zetu za Kiafrika wanaonewa na kunyang'anywa mali zao zote pindi Baba anapofariki. Zama hizo zimepitwa na haki na wakati huu ni wakati wa mabadiliko.

    Mungu ibariki familia hii na watu wake wote.

    ReplyDelete

Thank you for visiting us🙏🏽. Feel free, be happy, do good/right things & remember that sky is not the limit, but your eyes, dogma & imagination/mind are the only limit. My father, Sr. used to say that the mind is the most powerful resource/thing a human being can ever have; use it wisely. It is similar to a common saying that the mind is a terrible thing to waste.