Kwetu sisi Wa Masao Ya Kiwera tunajiuliza Auntie Florentina, Cousin Bernadin Marselian Massao na Dominic George Massao ndio tuu Wa na ukoo wa kutuwakilisha kwenye vyombo vya serikali? Hili swali ni kwa hawa watatu, na sio ajabu kuwa wana vielelezo vya uhalifu katika maidha yao. Usiache mbachao kwa msala upitao. Haya yote yatapita.
Tunaanza kuzungumza na kutoa ukweli sio huo mulioutengeneza kwenye njia zenu za panya. Mwouvu nan? Mfano, Bernadin aliyefungwa mara tatu na kutuhumiwa mara kibao tangu utotoni? Anayefanya uhalifu wa kila aina hapo mtaani? Anaye nyanyasa wadogo zake na Mama mjane kiunafiki? Anayeplan watu kuja kuvamia nyumbani kwa ndugu zake wanaomdhamini na kumchangia kiasi kikubwa kujenga nyumba yakr? Au ni familia ya Valerian ambao hawajswai hata kuiba sindano ya mtu au kumtukana mtu bali kuendeleza upeno wa wazazi na babu zetu? Kumbuka Yesu aliuluza ule uma uliotaka kumsulubu yule mama Malaya " asiye na dhambi awe wa kwanza kumrudhia jiwe". Nasi Wana Vakeria Family twasema "UKIWA NA NYUMBA YA GLASI USIANZISHE VITA VYA KURUSHIANA MAWE". Go Figure!
Pia je! Anayetumiwa kama bendera nani? Dominic George Massao au Familia ya Valerian?. Kwa taarifa yako tumesimama imara na endeleeni na vikao vyenu vya kijiji na kata na kututukana mle matusi ya nguoni ksma kawaida yenu. Waliokuwepo kwenye hivyo vikao kijijini na kwenye kata na kusikia nyie watatu mukimtuka mama na dada yetu wanaujua ukweli. Na mumeweka wazi ninyi ni watu wa namna gani katka jamii. Hili linaingia kwenye records za Ukoo na Dunia nzima jinsi mulivyo na nia zenu zilivyo. Endeleeni kusafiri njia za panya. Mwanga wa Bwana Yesu kama ilivyo kwenye ufunuo, kitabu cha mwisho cha Biblia, utakuumbueni.
Tulikua tunawasubiria hadi ukingoni maana ardhi sio karanga au peremende mtu ajinyakulie tuu. Tuliwaonya kwenye barua yetu ya April 2012, na January 2014. Na kupendekeza tupewe muda ili sisi, Wanaume wenye kumiliki ardhi, tuweze kuwasilisha maamuzi yetu kwenye vikao vyenu hivyo vya njia za panya. Mulipuuzia na Hamukusikia. Sasa ninyi musijifanye munashangaa leo hii sisi kuutumia umma mulioupelekea mambo haya ya nyumbani ipasavyo kuwakosoa vikali. Nilisema kila kitu kitafanyika #UPENUNI. #HATUENDINJIAZAPANYA"THIS TIME IS DIFFERENT".
Disclaimer. Content of this Blog/Web is intended for reading use only and may contain privileged, confidential, or proprietary information that is exempt from disclosure under law. Reader(s) discretion is required of essence. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly by profile e-mail and or comment line. Content of this blog are protected under the privacy, 1st amendment and private property laws. Do not distribute, print, download and or copy content of this Blog without Blog Administrator’s permission or proper academic references to Fatherhood Life Blog. Also contents of this Blog are personal opinion, views, perception and private or Public observations of the Blogger(s). Thank you and may God bless you and The United States Of America. "In God we Trust" and "United We Stand".
Shangazi mtu hapa angetumia nafasi yake kama mtu mzima na heshima zake kuita wapwa zake na kukaa chini kuyamaliza haya matatizo katika ngaziya familia. Laikini naona hapa Shangazi mtu ndie katoka nje ya familia na kwenda kwenye ngazi za serikali, kibaya zaidi kashirikiana na huyu Mpwa mmoja kufanya harakati hizi. Shangazi mtu na Mpwa huyu mmoja ni dhahiri wana hila na wanajua ndugu wengine wa ukoo au Wapwa wengine wakihusishwa kikamilifu watangundulika katika hila zao. Na hali hii imepelekea hawa wanafamilia kuwadhibiti ipasavyo.
ReplyDeleteHuu ni mfano wa kuigwa. Maana wako wengi sana kwenye jamii zetu za Kiafrika wanaonewa na kunyang'anywa mali zao zote pindi Baba anapofariki. Zama hizo zimepitwa na haki na wakati huu ni wakati wa mabadiliko.
Mungu ibariki familia hii na watu wake wote.