




Wana Mnini shikamoo kwa wakubwa na salam kwa wadogo. Kifupi tuu *kwa Kiliswahili kwa wenzetu-wengi zaidi,* kwa niamba ya Familia ya Mwalimu Valerian na Felicia Masao, tunasikitika kutangaza matukio ya kutaka kuwawa kwa kuchomewa nyumba moto kwa kile kinachoaminika ktk Familia ya ndugu zetu wa Baba Mkubwa Marcelian Masao na familia ya Shangazi Florentina kuwa *SISI NI WACHAWI.* Hakuna ushahidi hadi hata mahakamini, katika tuhuma hizi.
Kinyumbani haya mambo na tuhuma zimeenezwa tangu Mama aolewe takriban mika 46 iliyopita. Awali, kwa Valerian tulinyamaza kimya kwani hizi tuhuma hazikua na hoja. Wanafamilia, waliokua wakiingilia, nao wanapigwa vita vikali sana, wanajijua. Kabla ya Mama kuolewa na maamuzi ya Babu na Bibi, tutajuzana baadae, kwani uchunguzi wa kina unaendelea na chimbuko la haya yanayoendelea ni makuu kuzidi umri wetu na au ndoa ya Mama yatu kipenzi Mjane Mwl. Felicia.
Kifupi tuu, wengi hapa kijijini ni rahisi kufikia muafaka ktk hizi harakati kwa kuambiwa maneno ya mdomoni tuu bila kujua kisa, mizizi na #nia za yasemwayo. Kama kuna mtu mwenye ushahidi wa hizi tuhuma tunaomba ajitokeze na atoe huo ushahidi ktk serikali ya Kitongoji cha Usawini, Kijiji cha Mnini, Kata Ya Uru Mashariki au Wilaya ya Moshi Vijijini, ili kurahisisha urejeshaji wa Amani na Usalama ktk jumuiya yetu.
#Ukweli: Chuki haijengi na hii chuki haidhuru tuu familia ya Valerian peke yake kwani hatuishi kwenye kisiwa chetu peke yatu. Tukumbuke kuwa mauaji ya Rwanda na ya WaJewish ktk vita vya pili vya dunia, hayakuanza na kuumiza walengwa tuu, waJewish au WaTusi peke yao. Bali yalidhuru jumuiya na dunia nzima.
#HaliHalisi# Ndugu zangu Wauru, tunachafuliwa sana jina na heshima yetu, kama wasomi kuzidi tabaka zote za Wachagga, kutokana na hila, uongo, wivu na imani potofu za watu wachache wenye nia zao binafsi.
#Sayansi: Kitakwimu, Uru au Moshi au kilimanjaro, hakuna nyumba iliyowahi kuungua moto mara zaidi ya moja kwa muda kati ya chini ya miezi miwili. Sayasi ya takwimu haidanganyi. Leo kwako, kesho kwangu. Jamii ni yetu sote.
#Ombi: Kama kuna mwenye la kutaka kutukosoa kuwa kosa letu liko wapi, aje. Kuna wenye nia zao, hao tunawatambua. Kifupi, kila kikao cha kifamilia, huwa wenye nia zao binafsi wanakivuruga. Ila jirani zetu, ndugu zetu, na wana Uru/Mnini wenzetu munatujua, munajua pa kutupata. Musikubali huu upotofu. Tunajua mupo wengi wenye nia nzuri na imani nzuri ya kuijenga Uru na Mnini ya amani, utulivu na usalama kwa wote wanynge na wasio wanyonge. Tupo tayari kukutana na atakaye tujea kutuelimisha zaidi ktk hali hii isiyo ya kawaida kwa Wamasao, WanaMnini au Wauru. Lakini kutishiana kuuana na kuchomeana nyumbani ili kusababisha vifo, hii sio uungwana, uanadamu na usalama ktk jamii yetu ya Uru, Mnini, au WaMasao. Asante na Mungu awalinde nyote ๐.
Kudos to cousin Dr. Patrick (Carl) Nilsson; the violent incitement through your movement, embarking Uncle Mwl. Marcelian's violent agenda since Mama Mwl. Felicia married our father has given some fruits. A second time in less than two months, they have burned our house down, attempting to kill our mother inside the house. They cling to violence and threats and utterly disregard fellow human beings or life. Anyone comes in between them, and our safety or peace is threatened or lied upon. It has been this way behind doors before it spells out in public.
This, too, *we shall overcome.* Nothing exists under the sun that doesn't have an end. We pray that they receive far better treatment than they offer to others and that they change and grow. We pray that they become responsible and realize that their acts don't only destroy us, *The Valerian Family,* because we don't live in a vacuum or did not come from thin air.
Like Rwanda Genocide, hatred against Jews in WWII, or other ethnic cleansing, they began with hatred, dehumanization, and incited violence. The perpetrators were not successfully implementing the atrocities against humanity without enablers, cheering bystanders, and catalytic figures. It is natural, and we pray for changes and growth. Blessings๐.
VPELP Reader(s) Signature and Disclaimer: The content of this Blog (ttps://vpelp.blogspot.com) is a “Me Too To retired and widow Mwalimu Felicia H. Moshi” and family to her oppressors. The content of this blog is protected under privacy, US First Amendment, and private property laws. Also, the contents of this Blog are mixed opinions/interpretations, views, perceptions, overreactions, experiences, and feelings by members of Valerian and Felicia Masao’s privileged real-time and real events of their private Family facts, presented by the Blogger(s). Help us to raise awareness for the VULNERABLE people. "In God we Trust," and "United We Stand.". Contents of this Blog are intended for reading use only and are not permitted for any commercial, publicity, or malicious acts. Reader(s) discretion is of the essence. Do not misrepresent, distribute, print, download, and or copy the content of this Blog without Blog Administrator’s permission or proper academic and legal references. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly. Thank you, and may God bless you.