ππ½Hii Meme imenikumbushia case studies/tafiti za shuleni na kazini; na pia experiece ya maisha yangu na familia yangu kutoka kwa ndugu zangu na wanavyo watumia WANAMOVEMENT wao kutupiga vita. Experience yangu tangu utotoni na hadi sasa, ni kutishiwa kuwawa kwa kila namna, namna iliyo jificha na hata waziwazi. Matendo ya familia ya jirani na Baba Mwl. Marcelian: Bro Ben kunioverdose nikiwa mtoto, tangia utotoni kutangaza kwanini mtu hafi nyumbani kwetu, kumwita mama yetu mchawi, BADA YA BABA ZETU/WATUNZA AMANI KUFARIKI wao kutuvamia, kugushi makesi, kutumia familia yao kama uwanja wao wa mashambulizi kwetu kutoka kwa WANAMOVEMENT, kutaka kumwua mama kwa kumchomea yumba akiwa ndani mara mbili, na hili la kujilazimisha kwetu, ni mkabala kabisa na dhamira zao za kumwaga damu yetu.
Wauaji hutumia njia nyingi sana kutimiza lengo la kumwaga damu ya walio wakusudia. Kwetu, kwenye familia ya Mwl. Valerian B-K. Masao, ndugu na jirani zetu wa familia ya Mwl. Marcelian B-K Masao, kwanza, walianza kwa kuvumisha. Eti Mama yetu ni mchawi. anayejua #Witch-Hunting ni nini, anaelewa. Whitch-hunting ni kumvumishia mtu uovu ili asulubiwe hadi kufa. Kwahiyo kumwita mtu ni mchawi ni kumtangazia kifo. Kuna sheria na mmoja wa hawa ndugu alipatikana hatiani.
Pili, wakauna Movement yao ya kushirikiana na kushangilia uovu wanao utenda. Ili kupata kichaka cha kujificha na kutimiza manu9 yao, wakidhania kuwa hawara bainika kirahisi na au wakibainika wawe wengi -ππ½ndio lengo lao na MOVEMENT yao. Ila Ukweli na Haki ni uti wa mgongo wa jamii imara.
Tatu, wakaweza kutimiza ajenda yao ya kuwekea ndugu na wanajamii hali ya sintofahamu. Hii ni kuweka saikolojia kwa kila mwanafamilia na mwana jamii kuwa sisi kwa Valerian hatuna hadhi ya kuishi nyumbani kwetu kwa amani. Lakini Ukweli na Haki vina simama imara.
Nne, wakatumia mafanikoo yao hapo juu, na kuanaanza kutumia njia kadha wa kadha. Mfano, kutumia njia zao kabambe za kujinyakulia ardhi, ili (1) watuzingire na kuutumia ujirani wa kutuzingira na undugu kutimza lengo la kuua, (2) tukafurukuta, ndipo wakaanza kutumia nyezo zao za saikolojia waliyo iwekezea kuwa Mama ni mchawi na kusingizia tutakufa kutokana na laana na shangazi/mwanamfu. Hakuna laana. Kuna MKONO MREFU WA MTU. Hawawezi kutudanganya sote kuchu.
Tano, tulipodhibiti haya yote wakaja na makesi ya kubambikizia. Theodomiry Marcelian Masao a.k.a. Albert Peter Massao, dada zake na #WANAMOVEMNT wao, kwa njia wazijuazo wamekua wakifungua makesi lukuki kutimiza lengo lao la kumwaga damu ya Familia ya Baba mdogo wao na jirani yao, Mwl. Valerian B-K. Masao.
Sita, Walipoona lengo la kumwaga damu bado halijatimia, wakaamua kuja kuchoma nyumba yetu mara mbili , kutaka kumwulia Mama yetu ndani. Ikumbukwe kwamba, kumvamia mtu kwake, kumchomea/kuchoma moto nyumva ya mtu, kumtangazia mtu mbona hafi mtu huko kweke, na kumtangazia mtu ni mchawi, vina mwendano na uwiano sawa ktk malengo ya umwagaji damu.
Saba, kama wange/wakifanikiwa kumwua Mama yetu, wange/watavumisha kuwa (a) ali/amekufa kwa upweke (kauleta nani upweke?), (b) ali/amekufa kwa kutokana na msongo wa mawazo (kayawela nani mazingira ya mawazo?), (c) ali/amekufa kutokana na laana (kujisukumiza kwetu ni mazingira ya kuweka mkono mrefu wa mtu), au (d) ali/amekufa kwa kuwa kizuizini (nani anambambikizia makesi ya kuwa Kizuizi?).
Nane, walianza kutuvuruga kwenye familia ili lolote wafanyalo lisijadiliwe kwenye kikao cha kifamilia. Walikua wamejiandaa na WANAMOVEMENT wao na kupeleka mambo ya ndani/KIFAMILIA serekalini, ambapo haya mambo yangetatuliwa ndani. Hawakujua kuwa, hakuna anayeweza kutabiri kesho, na kuwa UKWELI na HAKI ni sera bora ya kuishi hapa duniani. Mfano, Kwenye kikao cha kata, Mtu wa Kwa Baba Mwl. Marcelian alipoona kikao kinawabana akatupa kombora la Kumwita Mama ni mchawi. Ili aharibu kikao. Na alifanikiwa. ππ½ππ½ Hivi ndivyo vitimbwi tumekua tukiishi ndani/faraga kwa miongo mingi. Hali ilikua ni VITIBWI, VISA, KUTISHIWA, NA UVUMI. Nashangaa wanavyovumisha kuwa sisi ndio ttuliowapeleka nje mambo ya familia. Eboπ€!
Nirudie tena, hili swala la familia ya Mwl. Marcelian kutumia kila mtu, kila njia, kila nyezo kujisukumizia kwetu au kupita kwetu bila kizuizi, kugonga hodi na kukaribishwa, ni uchochoro/kichaka chao cha kujificha kutimiza malengo yao ya umwagaji wa damu. Hili swala lao, la hawa ndugu kujisukumiza kwetu kwa nguvu kali hivi, ni WANAMOVEMENT kupata kisingizo kama 1 hadi 8 na a, b, c & d hapo juuππ½. Walishawekeza ktk hivi visingizio kwa miongo mingi. Tuwatazame kwa kina kirefu sana mno.
Wanakazana kila njia kuzuia ukweli na haki. Uongo, uvumi, ushabiki umewatawala. Ukweli na Haki vitasimama. Hawawezi kudanyanya kila mtu, kila pahali na kila wakati. Walipo haribu familia, walitegemea kuwa wakienda serikalini WANAMOVEMENT wao watawabeba hadi kutimiza lengo lao. Haya mambo yangekuwa ni ya kawaida na nia njema ktk kukosa kwa kawaida kwa mwadamu, kama kila mikwaruzano ya familia yenye amani, yasingefika hapa tulipo. Impunity na nia mbaya ndio kitivu cha huu mzozo wa generations. Tuzidi kuombeana, tuwe wakweli na tutimize haki. Yehweh atubariki sote. Asante sana kwa kusoma.
VPELP Reader(s) Signature and Disclaimer: Content of this Blog (ttps://vpelp.blogspot.com) is a “Me Too To retired and widow Mwalimu Felicia H. Moshi” and family, to her oppressors. The content of this blog is protected under the privacy, US First Amendment, and private property laws. Also, the contents of this Blog are mixed opinion/interpretations, views, perception, overreactions, experiences, and feelings by members of Valerian and Felicia Masao’s privileged real-time and real events of their private Family facts, presented by of the Blogger(s). Please help us to raise awareness for the VULNERABLE people. "In God We Trust," and "United We Stand.". Contents of this Blog are intended for reading use only and not permitted for any commercial, publicity, or malicious acts. Reader(s) discretion is of the essence. Do not misrepresent, distribute, print, download, and or copy the content of this Blog without the Blog Administrator’s permission or proper academic and legal references. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly. Thank you, and may God bless you.