Katika Maisha ni kusikiliza, kuelewa na kutilia maanani kiswaia SANA mienendo, maamuzi na misimamo ya WATU & machimbuko yake. Sisi watoto tuna miaka 45+ ya kumbukumbu za hizi agenda za tafrani kwetu. Kwa wazazi wetu, hatuna record ya ni miaka mingapi, kwani kile kitabu cha ukoo walikichoma moto kwenye mipongo yao ya mauji ya kutaka kumwulia mama kwa kumchoma ndani ya nyumba yake.
*Mfano mzuri, mtu akichukua miaka 10 kuendekeza chuki au kutoelewana na nduguye/mtu kwa maneno na matendo, itamkuchukua huyo mtu takribani miaka 20 au maisha yake yote kunena na kutenda yanayo ondoa ile chuki aliyo ipandisha kwa nduguyE/mtu, toba ya KWELI na yenye HAKI moyoni. Sio kwa kikao kimoja au tamko la mtu mmoja, au kishari.* Wakristu wa kweli tunaijua toba ya moyoni ni nini. Sio lopi, sio kushinikiza au kuweka wanamovement kama harakati za kishabiki za kuonyesha fulani na nyumbani kwake ni mbaya au ni kubaya.
*Takribani kwa miaka 45 sasa, sisi watoto tunajifunza hivi vitu bado. Tuliishi kejeli za vikao baina ya familia zetu. Kumbe watu walikua wanasubiria wazee wetu watoweke waje kutimiza ajenda zao za mavamizi na mauaji kwetu. Wakidhania kikao kimoja au mtu mmoja atafutilia mbali yooote ya nyuma🤔? Cha ajabu, sisi leo ndio wazee na miji yetu sasa, takribani miaka sawa na ya Wazee wetu ilee mika ya 1975-1985s wakati sisi ndio tunazaliwa na kuanza kutambua kuwepo kwa hii migogoro. Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
*Lahasha, anza kuinena na kuitenda toba kama ulivyo inena na kuitenda chuki kwa miongo kadhaa. 👈🏽 Hiyo ndio toba ya UKWELI & HAKI. Toba ya KWELI & HAKI hailetwi kupitia WANAMOVEMENT KUTuSHINIKIZA, kamwe.*
No comments:
Post a Comment
Thank you for visiting us🙏🏽. Feel free, be happy, do good/right things & remember that sky is not the limit, but your eyes, dogma & imagination/mind are the only limit. My father, Sr. used to say that the mind is the most powerful resource/thing a human being can ever have; use it wisely. It is similar to a common saying that the mind is a terrible thing to waste.