Friday, January 15, 2021

Bibi Selina (Deborah) Marcelian Masao Ahukumiwa Kwa Kumwita Mwl. Felicia Masao (Moshi) MCHAWI.




Kueneza uvumi, kusengenya, kutuhumu watu ni #wachawi, kunuia kuua watu, kuleta vurugu, kuvamia, kuchoma na kuteketeza nyumba, kutumia serikali ya kijiji kama chombo cha makandamizo, na mwishowe kuingia hatiani kwa kuvuruga amani na usalama wa watu nyumbani kwao. Hatimaye, mmoja wa wanaharakati wa waonevu na wavamizi wa Familia ya Mwl. Valerian na Mwl. Felicia, bibi Selina (Deborah) Marcelian Masao (Mwanafamilia ya Mwl. Marcelian) ahukumiwa kwa kumwita Mwl. Felicia Masao (Moshi) MCHAWI na kumvurugia anani.na usalama wake binafsi na nyumbani kwake. Huku bibi Selina akisubiria kujibu tuhuma za #Kumchomea Mwl. Felicia nyumba yake mara mbili (NDANI YA SIKU THELATHINI) na kuteketeza nyumba na kila kitu ndani yake. Whew!

Ili watimize lengo lao la umwagaji damu kwetu, wanatafuta kila kichaka cha kujificha wasibaine, kutumia maluki (#wanamovement), mamlaka, kujenga chuki, kutafuta chokochoko, kuharibu taratibu za kifamilia/ukoo, kuharibu reputation, kutishia na mambo mengi kama hayo.


 Haya 👆🏽 ndio baadhi ya madhara ya #Chuki, #Udini, #Wivu, #Uongo, na #Dhamira mbaya ya kuleta uchocheaji wa kuuwa watu, ndugu na jirani. Walalamikiwa, kwa Baba Mkubwa Mwl. Marcelianna wanaharakati wao, bado wanatishia eti tusiandike au tasielezee huu uovu. Ili nini? Wanapata wapi nguvu na kinga ya kusema na kufanya yote haya makuu? Tujiulize.

Ili-hali, kati ya miaka 46, takribani miaka 40 ya awali tulifumbia macho mambo kama haya 👆🏽. Mfano, uvumi, tuhuma mbaya za #Kishirikina, matishio ya kumwaga damu ya Familia ya Mwl. Valerian na mengine mengi. Lakini dhamira yao ya kumwaga damu ikashamiri. 

Twajua kua #Chuki, #Wivu, #Ulafi, #Tamaa, #Majivuno, #Hasira, na #Kiburi (Mizizi saba ya dhambi) vikikutawala vitakuangamiza na kuangamiza kitu chochote utumiacho na mtu yeyote umtumiaye ktk haya mambo saba makuu. Tuna kuombeeni sana ili mujiangalie jinsi mulivyo kwisha angamiza na munavyo zidi kuangamiza. 

Nguvu zote hizi ni kuangamiza na sio kujenga. Lakini, kuna mwisho. Dhamira isiyo ya kuangamiza, kudanganya, kudhuru, kutishia, au kuumba maovu haiangamizwi, danganyiki, au dhuriki. Mola azidi kutupa moyo mwepesi; tutambue kukubali vitu ambavyo hatuwezi kubadili; ujasiri wa kubalisha vitu tunavyoweza; na hekima ya kujua tofauti, kama vile (sala ya uungu) ituagizavyo. 

 Hivyo basi, dawa ni #KuPazaSauti, #KusemaUkweli, #KusimamaKwenyeHaki, #KutiiSheria, #KutoPendelea, #KuwekaUpendo, #KutoLipiza na #KuteteaWanyonge (wako watu wengi sana wanaodhurika isivyostahili). 

Asante kwa kusoma ukurasa wetu wa makala na kujifunza kutokana na hali yetu, ili nawe ujue namna tofauti za kujikwamua katika hali yako. Soma zaidi.....👇🏽👇🏽👉🏽  << vpelp.blogspot.com >> na kutazama channel yetu ya youtube << https://youtu.be/Xob6pXw8JC0 >>. Mungu akubariki na akulinde 🙏.



VPELP Reader(s) Signature and Disclaimer: Content of this Blog (ttps://vpelp.blogspot.com) is a “Me Too To retired and widow Mwalimu Felicia H. Moshi” and family, to her oppressors. The content of this blog is protected under the privacy, US First Amendment, and private property laws. Also, the contents of this Blog are mixed opinion/interpretations, views, perception, overreactions, experiences, and feelings by members of Valerian and Felicia Masao’s privileged real-time and real events of their private Family facts, presented by the Blogger(s). Please help us to raise awareness for the VULNERABLE people. "In God We Trust," and "United We Stand.". Contents of this Blog are intended for reading use only and not permitted for any commercial, publicity, or malicious acts. Reader(s) discretion is of the essence. Do not misrepresent, distribute, print, download, and or copy the content of this Blog without the Blog Administrator’s permission or proper academic and legal references. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly. Thank you, and may God bless you.

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting us🙏🏽. Feel free, be happy, do good/right things & remember that sky is not the limit, but your eyes, dogma & imagination/mind are the only limit. My father, Sr. used to say that the mind is the most powerful resource/thing a human being can ever have; use it wisely. It is similar to a common saying that the mind is a terrible thing to waste.