Greed, jealousy, malice, impunity, and hatemonger are to incite violence. "THIS TIME IS DIFFERENT." Sadly, after Auntie passed, her Son, Cousin Dr. Patrik Nilsson (stics.se/contact3.html or https://dugga.com/sv/om-oss/) with the "Movement" he's espousing, made up of Cousin Ben and use of Uncle Mwl. Marcelian's home/neighbor is the center of their attacks. With sophisticated, proximity, and disguised attacks, the MOVEMENT is increasingly aiming to incite bloody violence, their ultimate goal.
Tuesday, July 25, 2017
Ndugu Zetu, Dr. Patrik Nilsson (Carl Patrik), Praksedi Nilsson (Praksedi Masawe) na Selina Masao (Deborah Masawe ) & Bernadin Masao Wana Operation Disinformation/Uvumi
Ndugu zetu, binamu Dr. Patrik Nilsson (Carl Patrik), Dada Praksedi Nilsson (Praksedi Masawe) na Dada Selina Masao (Deborah Masawe) na kaka Bernadin M. Masao Wana Operation Disinformation. Wanauza na Kukuzua Maneno, Kuvamia, Kusengenya, Kudanganya, na Kupotosha wanajamii dhidi ya Familia ya Mwl. Valerian. Wanafanya haya kwa Manufaa yao binafsi.
Miongoni mwetu Wana Valerian, hakuna anayepinga ukweli kwamba Shanhazi Florentina B. Masawe ana Kihamba/Plot/Shamba lake. Shamba la Shangazi la Bustani, ni mpakani/na Mzee Ludovick Shangarai. Pia, Wana Valerian hatukitaki hata kwa Bure. Ni mali yake na Mungu Aibariki Familia yake katika Urithi Wake na wanaomrithi. Ni haki yao. Tena tunawaombea Mungu na kuwatakia maendeleo mema na ya kujenga jamii. Jamii ikikua na kuweza kushirikiana katika gurudumu la maendeleo ni kitu kizuri. Mungu atulinde sote.
Ukweli ni kwamba, Shangazi Florentina B. Masawe hakupewa Mashamba/Vihamba/Viwanja Viwili au Vitatu au Vinne. Vingenevyo ni uvumi na upotoshaji kutokana na chuki zao binafsi mioyoni mwao. Wana agenda ya Uvumi wa kichinichini kuzidisha Chuki baina ya Familia ya Mwl. Valerian na Mwl. Felicia dhidi ya wanajamii wasioelewa undani wa chuki hizi kali za kutaka kuangamiza, zilizopo baina ya Familia za wana ndugu, Wazazi wetu, Mwalimu Marcelian B-K. Masao, Mwalimu Valerian B-K. Masao na Shangazi Florentina B. Masawe.
Hizi chuki zilikuwepo ila zimeshamiri baada ya Baba Mwl. Valerian kufariki na kupamba moto baada ya Shangazi Floren kufariki, na lengo lao Kuu ni kumwua Mama Mwl. Felicia wakidhania ndio kuangamiza Wana Valerian. Hata mfanyakazi wao, Prosper Severin Mashoko (Tabu), amekiri mahakamani kuwa alitumwa na akatishia kuua. Sasa hizi chuki zilizo hamia kwa watoto, nasi kama watoto itabidi tuzikabili kwa kusema ukweli bayana baadhi ya mambo yanayotokana na chuki ili kuweka nia na malengo ya mambo ya uvumi na chuki hii katika hali ya uwazi zaidi.
Tathmini yetu kwenye hizi chuki tulizoziishi na kukulia nazo, ni kwamba usiri na ukimya wa wazazi wetu haukuondoa hizi chuki, bali zilishamiri na matokeo yake tunayaona. Hali halisi ni kwamba chuki za baadhi ya hawa ndugu zetu zimewatawala, nasi hatutaki zitutawale! Mwenye kutaka KUJUA UKWELI AJE AULIZE NA AJIONEEE MWENYEWE HALI HALISI.
Nia na dhamira zao, hawazitaji hadharani au kutumia utaratibu wa kutatua MADUKUDUKU kama yapo. Nasi yatupasa kukabiliana na haya yanayoenezwa kwa uvumi na kuyaleta hadharani kwa vielelezo na kutoa maelezo sahihi, ili kufafanua matendo yao na jamii ipate kuona kwa uwazi. Kwani siku zote Ukweli uko pale pale, na Haubadiliki.
Amended Pictures and sketches of the locations of Auntie Florentina's Bustani Farm, Valerian's Home and Farm, Uncle Mwl. Marselian's Home & Farm and the surrounding neighbors.:-




No comments:
Post a Comment
Thank you for visiting us🙏🏽. Feel free, be happy, do good/right things & remember that sky is not the limit, but your eyes, dogma & imagination/mind are the only limit. My father, Sr. used to say that the mind is the most powerful resource/thing a human being can ever have; use it wisely. It is similar to a common saying that the mind is a terrible thing to waste.