Monday, March 2, 2015

Barua Kwa Afsa Mtendaji Na Mamlaka Husika Kuhusu Usalama Wetu Kutokana Na Plan Za Bernadin M. Massao

Valerian B-K. Masao II, (Pendo)
520 Kossuth Avenue,
Utica, New York,
United States Of America,
(+1) 303-523-2061
March 2nd 2015
Ofisa Mtendaji,
P. O. Box _ _ _ _
Kijiji Cha Mnini,
Uru Mashariki, Moshi (V),
Kilimanjaro, Tanzania.

Ndugu Mheshimiwa;

YAH: KUNUKUU TAARIFA KATIKA OFISI YAKO KUHUSU MIFUGO YA BWANA BERDADIN M. MASSAO KUHARIBU MAZAO NA SHAMBA; NA WATEJA WAKE KULETA HOFU YA USALAMA NYUMBANI KWA FAMILIA YA MWALIMU VALERIA BLTHAZA-KIWERA MASAO SR:

Nukuu kichwa cha habari hapo juu. Kwanza; Napenda kuamza kwa kusema kuwa Bwana Bernadin Massao, abmbaye kwa sasa anaishi nyumbani kwa ndugu yake Bwana Albert Massao (Theodomir), amekua akivutia msafara wa watu mbali mbali toka vijiji na miji mbalimbali kuja nyumbani kwa bwana Theodomir. Kama wengi munavyojua, Familia ya Mwalimu Valeria tunatumia kichumi (Njia Ya Kuingilia Nyumbani) kimoja. Lakini hatutunii kichumi kimoja au hatuna mipaka na Bwana Bernadin. Hii hali imepelekea kupata tetesi kuwa Bwana Bernadin, (ambaye kwa sababu za kifamilia na kiusalama wetu tulimpiga marufuku kutofika nyuimbani kwetu au kuingia kwenye maeneo ya miliki zetu), amejaribu kufanya hila ya kufanya mashambulizi nyumbani kwetu kwa kutumia watu wa maeneo ya kutoka mijini. Shambilio hili walitaka liwe kama vile majambazi wamekuja kuiba tuu. Waliweza kujiingilia maeneo ya Nyumbani kwetu na kupanga plan ya namna ya kufanya mashambulizi hayo kwa kutumia mtiririko wa watu unaotumia kichumi hicho ambacho miaka yote kikimilikiwa na Babu Balthaza na Mwalimu Valerian na Familia na Mwalimu Marselian na hivi sasa Bwana Theodomir. Kwasababu sisi sio watu wahila na Baba yetu alikua anajua watu wengi kutokana na yeye mwenyewe kumiliki mali sehemu nyingi za mjini, tulidodoswa kuhusu hii plan. Pia kwasabu ya aina mbalimbali tulnazozitumia kama nyezo za usalama nyumbani kwetu, nazo pia zilichangia kwa watu hao kutojiamini kufanya mashambulizi hayo.

Dodoso hili tumelifanyia kazi na kupata uhakika kuwa kuna watu fulani walikuja nyumbani kwetu kuulizia bei na uwepo wa bidhaa na mali ghafi kama vile mbao na kadhalika. Tumegundua kuwa watu hawa walikuja kufanya uchunguzi wa uwezekano na namna ya kufanya plan yao ya mavamizi. Bado tunalifanyia hili swala tathmini ya kina. Pia tunatoa taarifa hii kwenye offisi yako kukupa taadhari hii ya kuhusu usalama wetu. Bwana Bernadin ana historia ndefu ya uhalifu na utonvu wa nidhamu. Alifukuzwa kazi Jeshini na kufungwa jela kwa uhalifu na baada ya hapo ameshafungwa jela karibu mara mbili kwa makosa ya Jinai na Uhalifu. Kwahiyo tunaomba uchuinguzi wa kina ufanyike kupata sulugu ya usalama wetu na nyumbani kwetu. Sisi, Familia ya Mwalimu Valeria, kama raia wema, tunathamini uadilifu na maadili ya kisheria na haki za binadamu. Upole na uadilifu wetu hapa unatumika kama kigezo cha kutukandamiza na kutunyima haki zetu.

Kihistoria, Bwana Bernadin amekua akifanya vitendo vya unyanyasaji na kuashiria kuwa sisi hatustaili kuishi nyumbani kwetu. Amekua mstari wa mbele sana kufanya vikao (Kaya, Kijiji na Kata- Hamna kikao hata kimoja cha ukoo kilichofanyika-na kama kilifanyika hatujahusishwa walengwa-Wamiliki wa Mali zote za Marehemu-Vijana watano) vya kuingilia mali za Familia na kutaka kumhamisha mama yetu Mjane Mwalimu Felicia ma sis nyumbani kwetu tunapoishi kwa muda takribani miaka ya 40 sasa. Amekua akitumia ngao ya kuwa ndugu yetu kujitambulisha kwenye vikao hivyo kama Mwakilishi wa Ukoo akiambatana na Shangazi Florentina B. Masawe (Mwingiliajoi kwa kutumia Bernadin) na Mzee Dominic George Massao (kama Mjumbe wa ukoo) eti wao ndio wana ukoo peke yao wanaowasilisha wana ukoo mzima wa Masao Ya Kiwera na Balthazar.

Hali halisi; inathibitisha kuwa kuna zaidi ya Wa Masao wa Kiwera na au Balthazar takribani zaidi ya 40 wanaoishi maeneo ya jirani, na takribani zaidi ya mamia wanaoishi maeneo ya mbali. Sisi wana Familia Ya Mwalimu Valerian tunathubutu kutamka hadaharani kuwa Kwasababu ya hii dosari ya kuwa mstari wa mbele kutumia ngao ya Ukoo Wa Masao Ya Kiwera na Balthazar isivyopaswa, na kutuingilia na kutunyanyasa nyumbani kwetu, tuwanaaamini kuwa hawa watu watatu wanaweza kuwa wahusika wakuu katika plan hiyo ya uvamizi nyumbani kwetu. Pia, kKitendo cha vikao vyao hivyo batili na cha Bwana Berndadi kuiba mfanya kazi na kuwa na hila za kutotaka mfanyakazi aishi Nyumbani kwetu ili mama awe mwenyewe kwasababu wanazozijua wao (Nukuu barua zetu kwa Balozi wa eneo husika na barua nyingi sana kwa wanafamilia wa Kiwera na Balthazar) ni badhi ya nukuu na kumbukumbu nyingi sana dhidi ya swala zima la usalama wetu nyumbani kwetu na kwenye jamii nzima na namna mavamizi haya yanavyoendeshwa dhidi yetu.

Pili; Bwana Bernadi ana mifugo mingi sana mfano Mbwa, Kuku na kadhalika. Amekua akiwaachia mifogo wake hao kuranda randa hovyo katika maeneo ya Familia Yetu wakati wa usiku na mchana. Mifugo hawa wamekua wakiharibu mazao na mali kama vile mbwa kuchafua na kuchimba ukuta, kuleta viroboto, kuku kuharibu mimea na kadhalika. Tunaomba ofisi hii imtaarifu/mtahadhari Bwana Bernadin afungie mifugo yake haraka iwezekanavyo. Tunategemea kupanda mazao na tutatumia mbegu zenye sumu ya kudhuru wanyama. Pia tunategemea kupiga dawa ambayo ina sumu ya kuweza kudhuru mifugo. Kama raia wema na wenye kuthamini utu na utendaji kazi wa jirani, tunaomba hii taarifa mfikie ili aweze kulifanyia kazi hili swala.

Pia, hata sisi tunao mifugo mingi kama vila Kuku, Paka na Mbwa. Tunachukua jukumu la kuwafungia ili wasilete kero au uharibifu kwa jirani yeyote. Nadhani hili ni swala zima la kua Raia Mwema, anayejali utu kwa kufuata sheria. Nasi tunamtaka Bwana Bernadin aonyeshe heshima na utu kwa kua raia mwema na mwajibikaji katika matendo, maneno na swala zima la kujenga jamii anayoishi.

Tunashukuru kwa kuchukua nafasi yako kusoma waraka huu. Pia tunashukuru offisi yako kwa utendaji katika gurudumu la maendeleo. Sote ni wana jamii na tunapaswa kuchangia maendeleo katika jamii tunayoishi. Mungu awabariki wote. Asanteni sana


Valerian B-K. Masao II,
Mwenyekiti Wa Familia ya Mwalimu Valerian
Nakala Kwa:
(1) Mwenyekiti wa Ukoo (Kila mwana ukoo awezapata nakala kwa maombi)
(2) Balozi wa eneo husika,
(3) Ofisi Ya Mtendaji wa Kata Ya Uru Mashariki,
(4) Kituo Cha Polisi Majengo,
(5) Ofisi Ya Afisa Mtendaji Wa Wila-KDC,
(6) Ofisi Ya Ustawi Wa Jamii,
(7) Ubalozi Wa Tanzania Nchini Marekani- Makao Makuu UN Office, New York;
(8) http://florentinamasaweinvadesvalerianhome.blogspot.com/ (Mtandao Wa Kudhibiti Hila za Uvamizi wa Ndugu Florentina B Masawe na Ndugu Bernadin Massao Kwenye Familia Ya Mwalimu Valerian)


“STOP AND READ”
Disclaimer: This E-mail is in tendered for personal and business use only, solemnly by the addressor; you are not authorized to distribute content(s) of this email without a written approval. Any materials contained in this e-mail should be used for the in tendered purpose only, nothing-less or more." Mr. Masao.

Disclaimer: Content of this e-mail may contain private, privileged and patent materials or information that are protected by legal statues, therefore should not be revealed to the third part, because it may violate these statues. Furthermore, materials from this email are carefully reviewed before sent and should not otherwise be altered, changed, copied or used in any circumstances that may violate anyone’s right(s). This is to clarify that materials sent to you in person by addressor could be appropriate but if addressee distributes to the third person(s) could then be an offence, thus, in this circumstances the addressor is renouncing any act of such unauthorized act(s). By addressee receiving this e-mail is aware and abides by this claim notice under the privacy and all statues set to protect the addressor by law(s)." May God Bless You and the United State Of America.” By Mr. Masao

Quote: "Live, Laugh, Lift and Love your life; because in this life and future, we got to do our best, as per our Almighty Creator of All." "Life is what you make out of, good or bad, the choice is yours to make from day one." By Mr. Masao.


Disclaimer. Content of this Blog/Web is intended for reading use only and may contain privileged, confidential, or proprietary information that is exempt from disclosure under law. Reader(s) discretion is required of essence. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly by profile e-mail and or comment line. Content of this blog are protected under the privacy, 1st amendment and private property laws. Do not distribute, print, download and or copy content of this Blog without Blog Administrator’s permission or proper academic references to Fatherhood Life Blog. Also contents of this Blog are personal opinion, views, perception and private or Public observations of the Blogger(s). Thank you and may God bless you and The United States Of America. "In God we Trust" and "United We Stand".

15 comments:

  1. Thanks to Google Translate. You can copy and past this in the Google Translate and it will translate it for you to the available language services. I believe that many languages are covered in the Google Translate, luckily, Swahili is there too. So I used it and i can relate with most previous posts from this informative web.

    ReplyDelete
  2. It is shame that this woman and this man are highjacking the entire community. Above all it is a shame that even local government is being let to be used by these hateful people to advance their agenda.

    ReplyDelete
  3. Cant's you guys be able to convict him from his actions and motives? Given that he has such an extensive past criminal record? Don't let this animal run in the streets because he can really hurt someone. Then what? You guys have a right to stand your ground and defend yourselves. Even to be preemptive and address the threats he poses at early stages. He is an animal and he cannot be trusted to be in the civilian at all.

    It's good that you are clinging to your God because no way possible a plain human being can be able to deal with such venom and hold on as much as you did without doing something dumb and regret later. You are in our thoughts and prayers.

    ReplyDelete
  4. Mungu Ibariki kazi ya mikono yetu. Hawajui tulivyomenyeka na tunavyomenyeka kupata wanachokiona kwa macho yao. Ukiona vya elea vimeundwa. Hizi ni TALANTA. kila mtu ana zake. Ulipewa zako. Zitumie. Acha wivu. Amina.

    ReplyDelete
  5. Hivi ni vita vya kiroho na mambo ya kimwili au mamlaka za dunia haziwezi kusuluisha. Ni mioyo yao inavyozituma akili na nia zao. Amina Bwana alikufa msalbani kwaajili ya wokovu wetu sote. Na basi akawapake mafuta ya utakatifu ili roho zao zipate kuponeka.

    ReplyDelete
  6. Hakika Bwana ni mwema na mpaji. Hakika Bwana atawalinda wale wake na kuwarudisha kundini wale wamtafutao. Nasi twamtafuta Bwana, kila saa na nukta ili aturudishe kundini.

    ReplyDelete
  7. Hivi Watu Wa TANESCO siku hizi huwa wanakuja nyumbani kwa wajane na kuhoji kwanini wana ulinzi mkali na kuwa wamepata wapi vitu vya electronics wanavyo vitumia?

    Hawa watu wa TANESCO wana kuja majumbani kwa watu kusoma MITA na kwenda zao? Au wanatumika kufanya udadisi wa plan fulani fulani au? Hebu tupeni ufunuo maana kuna watu hawataki kutuona tunakaa kwa AMANI NYUMBANI KWETU. Hatujawai kwenda kuingilia watu majumbani kwao.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Chuki, hila na wivu vimetawala watu na huu mzozo. Ukitambua hilo utaona mengi na kuwa mwerevu wa kujihami na baadhi ya watu. Mungu akuzidishieni ulinzi wake maana mumezungukwa na adui. Wanajilazimisha hadi nyumbani na kuna hila nyingi sana.

      Delete
  8. Huyu mtu hana hadhi ya kuishi uraiani na huru. Ni mdhalilishaji wa haki za binadamu na anastaili arudi huko Jela alipokuwa. Mtu akienda Jela mara tatu kwa makosa mbali mabli na ya jinai, kuna sababu zake kubwa sana. Hata wanaompa huu msaada wa kuendeleza ukiukaji wa haki za binadamu nao wachukuliwe hatua kali sana.

    ReplyDelete
  9. Huyu Bernadin Marselian Massao amekua kero kwa karibia kila mtu hapa mtaani. Anakata miti hovyo anatumia watu wengine kufanya uhalifu na anasambaza unafiki na uongo mkali sana wa kutenganisha wana jamii. Kwahiyo ninyi ndugu zake munayoyapata sio mageni kwenye familia za watu wengine kutoka kwa Bernadin. Inabidi mupambane nae vikali maana huyu mtu ni Nyoka kabisa. Poleni sana.

    ReplyDelete
  10. Kuweni makini na watu wanokuja nyumbani kwenu bila sababu au kwa kutumia vigezo fulani fulani. Bernadin na kundi au mbinu zake za uhalifu huwezi kuzijua zote. Inabidi mujihami kwani yanayosemwa ni mengi na matendo pamoja na nia zake mumeshazijua. Kama mulikua munayafumbia macho, sasa fungueni macho. Ni vigumu kweli kweli kupambana na ndugu wa karibu na mnafiki kama huyu Bernadin. Wahenga walisema lisemwalo lipo, kama halipo, laja.

    ReplyDelete
  11. Huyu Bernadin amekata miti sana huku mgombani. Anefanya panalua jangwa. Pia abahusika na uhalifu wa kila aina. Ni mtu mchafu sana na ana hila sana. Ananyemelea watu na vya watu kama nyoka . Bora tuu sheria mshughulikie huyu mtu.

    ReplyDelete
  12. Hakuna yafanyikayo sirini yasitoke upenuni. Hila za huyu mwanadamu zitatoka tuu. Hawezi kumficha kila mtu na kila jambo. Atafunguka tuu. Msikilizeni maneno yake vizuri na angalieni tabia na mwenendo wake kwa makini sana. Utapata vielelezo vingi sana vya uovu wake huu. Tena pale anapoanza kumbulikiwa ataanza kutokuwa makini maana plan zinaenda mrama. Hapo ndipo utamnasa kama panya kwenye mtego anavyotegwa na mvuto wenye mafuta ya ng'ombe yaliyo kaangwa vile.

    ReplyDelete
  13. Anaonekana kuwa ni mtu mwenye hila sana. Ana tamaa kama ya fisi, naona mhariri hapa kampatia sana uelezaji wake alivyomchambua. Inaelekea mharirir anamjua sana nia ya huyu mtu. Njia za mwongo na mnafiki ni fupi. Maana huwa ananufaika pale anapaoweza kutuliza kila aina ya chokochoko itakayaomfanya aumbuke au ukweli kutoka uwazi.

    Hakuna mtu anayeweza kuificha nafsi yake na nafsi yake ndioitakayomwumbua na kuleta awazini mambo yake ya sirini. Ni dhahiri nia zake kwa ndugu zake hawa sio nzuri na ana hila za kibinafsi. Ila ametengenezewa/amejitengenezea mazingira ya ndugu au marafiki kumlinda. Hiyo ngome itabomoka tuuu!

    ReplyDelete
  14. UNAFIKI umetawala sana hawa wana ndugu, ukoo, jumuiya, na jamii kwa ujumla. Iweje mtu kama hawa wana ndugu waje kumwingilia Mama mjane na mtu mwenye heshima zake kwenye jamii na hakuna hata ndugu mmoja aliyeweza kujitokeza na kuwaambia hawa machakaramu wasimsumbue huyu Mama na au familia yake?

    Hii familia haikuwahi kwenda kwa mtu kumleytea shida mtu yeyote. Nadhani upole wao ndio umetumika kuwakandamiza. Uliwapa hawqa ndugu vichwa. Walijua kabisaa wanaukoo wenzie wote ni wanafiki na watatazama pembeni ilimaradi huku wakiwaachia hawa mafisadi wajuchumie vyao mapemaaaaa.

    Asante admin, uliwakomesha wote, hawa ndugu mafisadi na wana ukoo wanafiki. Hii kitu ni elimu kwa Umma ati.

    ReplyDelete

Thank you for visiting us🙏🏽. Feel free, be happy, do good/right things & remember that sky is not the limit, but your eyes, dogma & imagination/mind are the only limit. My father, Sr. used to say that the mind is the most powerful resource/thing a human being can ever have; use it wisely. It is similar to a common saying that the mind is a terrible thing to waste.