Valerian B-K. Masao II,
(Pendo)
520
Kossuth Avenue,
Utica, New York,
United
States Of America,
(+1) 303-523-2061
Ofisa
Mtendaji,
P. O. Box _ _ _ _
Kijiji Cha Mnini,
Uru Mashariki, Moshi (V),
Kilimanjaro, Tanzania.
Ndugu Mheshimiwa;
YAH:
KUNUKUU TAARIFA KATIKA OFISI YAKO KUHUSU MIFUGO YA BWANA BERDADIN M.
MASSAO KUHARIBU MAZAO NA SHAMBA; NA WATEJA WAKE KULETA HOFU YA
USALAMA NYUMBANI KWA FAMILIA YA MWALIMU VALERIA BLTHAZA-KIWERA MASAO
SR:
Nukuu kichwa cha habari hapo juu. Kwanza; Napenda kuamza kwa kusema kuwa Bwana Bernadin Massao, abmbaye
kwa sasa anaishi nyumbani kwa ndugu yake Bwana Albert Massao
(Theodomir), amekua akivutia msafara wa watu mbali mbali toka vijiji
na miji mbalimbali kuja nyumbani kwa bwana Theodomir. Kama wengi
munavyojua, Familia ya Mwalimu Valeria tunatumia kichumi (Njia Ya
Kuingilia Nyumbani) kimoja. Lakini hatutunii kichumi kimoja au
hatuna mipaka na Bwana Bernadin. Hii hali imepelekea kupata tetesi
kuwa Bwana Bernadin, (ambaye kwa sababu za kifamilia na kiusalama
wetu tulimpiga marufuku kutofika nyuimbani kwetu au kuingia kwenye
maeneo ya miliki zetu), amejaribu kufanya hila ya kufanya
mashambulizi nyumbani kwetu kwa kutumia watu wa maeneo ya kutoka
mijini. Shambilio hili walitaka liwe kama vile majambazi wamekuja
kuiba tuu. Waliweza kujiingilia maeneo ya Nyumbani kwetu na kupanga
plan ya namna ya kufanya mashambulizi hayo kwa kutumia mtiririko wa
watu unaotumia kichumi hicho ambacho miaka yote kikimilikiwa na Babu
Balthaza na Mwalimu Valerian na Familia na Mwalimu Marselian na hivi
sasa Bwana Theodomir. Kwasababu sisi sio watu wahila na Baba yetu
alikua anajua watu wengi kutokana na yeye mwenyewe kumiliki mali
sehemu nyingi za mjini, tulidodoswa kuhusu hii plan. Pia kwasabu ya
aina mbalimbali tulnazozitumia kama nyezo za usalama nyumbani kwetu,
nazo pia zilichangia kwa watu hao kutojiamini kufanya mashambulizi
hayo.
Dodoso hili tumelifanyia kazi na kupata uhakika kuwa kuna watu fulani
walikuja nyumbani kwetu kuulizia bei na uwepo wa bidhaa na mali ghafi
kama vile mbao na kadhalika. Tumegundua kuwa watu hawa walikuja
kufanya uchunguzi wa uwezekano na namna ya kufanya plan yao ya
mavamizi. Bado tunalifanyia hili swala tathmini ya kina. Pia tunatoa
taarifa hii kwenye offisi yako kukupa taadhari hii ya kuhusu usalama
wetu. Bwana Bernadin ana historia ndefu ya uhalifu na utonvu wa
nidhamu. Alifukuzwa kazi Jeshini na kufungwa jela kwa uhalifu na
baada ya hapo ameshafungwa jela karibu mara mbili kwa makosa ya Jinai
na Uhalifu. Kwahiyo tunaomba uchuinguzi wa kina ufanyike kupata
sulugu ya usalama wetu na nyumbani kwetu. Sisi, Familia ya
Mwalimu Valeria, kama raia wema, tunathamini uadilifu na maadili ya
kisheria na haki za binadamu. Upole na uadilifu wetu hapa unatumika
kama kigezo cha kutukandamiza na kutunyima haki zetu.
Kihistoria, Bwana Bernadin amekua akifanya vitendo vya unyanyasaji na
kuashiria kuwa sisi hatustaili kuishi nyumbani kwetu. Amekua mstari
wa mbele sana kufanya vikao (
Kaya, Kijiji na Kata- Hamna kikao
hata kimoja cha ukoo kilichofanyika-na kama kilifanyika
hatujahusishwa walengwa-Wamiliki wa Mali zote za Marehemu-Vijana
watano) vya kuingilia mali za Familia na kutaka kumhamisha mama
yetu Mjane Mwalimu Felicia ma sis nyumbani kwetu tunapoishi kwa muda
takribani miaka ya 40 sasa. Amekua akitumia ngao ya kuwa ndugu yetu
kujitambulisha kwenye vikao hivyo kama
Mwakilishi wa Ukoo
akiambatana na
Shangazi Florentina B. Masawe (Mwingiliajoi kwa
kutumia Bernadin) na
Mzee Dominic George Massao (kama Mjumbe
wa ukoo) eti wao ndio wana ukoo peke yao wanaowasilisha wana ukoo
mzima wa Masao Ya Kiwera na Balthazar.
Hali halisi; inathibitisha kuwa kuna zaidi ya Wa Masao wa
Kiwera na au Balthazar takribani zaidi ya 40 wanaoishi maeneo ya
jirani, na takribani zaidi ya mamia wanaoishi maeneo ya mbali. Sisi
wana Familia Ya Mwalimu Valerian tunathubutu kutamka hadaharani kuwa
Kwasababu ya hii dosari ya kuwa mstari wa mbele kutumia ngao ya Ukoo
Wa Masao Ya Kiwera na Balthazar isivyopaswa, na kutuingilia na
kutunyanyasa nyumbani kwetu, tuwanaaamini kuwa hawa watu watatu
wanaweza kuwa wahusika wakuu katika plan hiyo ya uvamizi nyumbani
kwetu. Pia, kKitendo cha vikao vyao hivyo batili na cha Bwana
Berndadi kuiba mfanya kazi na kuwa na hila za kutotaka mfanyakazi
aishi Nyumbani kwetu ili mama awe mwenyewe kwasababu wanazozijua wao
(Nukuu barua zetu kwa Balozi wa eneo husika na barua nyingi sana
kwa wanafamilia wa Kiwera na Balthazar) ni badhi ya nukuu na
kumbukumbu nyingi sana dhidi ya swala zima la usalama wetu nyumbani
kwetu na kwenye jamii nzima na namna mavamizi haya yanavyoendeshwa
dhidi yetu.
Pili; Bwana Bernadi ana mifugo mingi sana mfano Mbwa, Kuku na
kadhalika. Amekua akiwaachia mifogo wake hao kuranda randa hovyo
katika maeneo ya Familia Yetu wakati wa usiku na mchana. Mifugo hawa
wamekua wakiharibu mazao na mali kama vile mbwa kuchafua na kuchimba
ukuta, kuleta viroboto, kuku kuharibu mimea na kadhalika. Tunaomba
ofisi hii imtaarifu/mtahadhari Bwana Bernadin afungie mifugo yake
haraka iwezekanavyo. Tunategemea kupanda mazao na tutatumia mbegu
zenye sumu ya kudhuru wanyama. Pia tunategemea kupiga dawa ambayo ina
sumu ya kuweza kudhuru mifugo. Kama raia wema na wenye kuthamini utu
na utendaji kazi wa jirani, tunaomba hii taarifa mfikie ili aweze
kulifanyia kazi hili swala.
Pia, hata sisi tunao mifugo mingi kama vila Kuku, Paka na
Mbwa. Tunachukua jukumu la kuwafungia ili wasilete kero au uharibifu
kwa jirani yeyote. Nadhani hili ni swala zima la kua Raia Mwema,
anayejali utu kwa kufuata sheria. Nasi tunamtaka Bwana
Bernadin aonyeshe heshima na utu kwa kua raia mwema na mwajibikaji
katika matendo, maneno na swala zima la kujenga jamii anayoishi.
Tunashukuru kwa kuchukua nafasi yako kusoma waraka huu. Pia
tunashukuru offisi yako kwa utendaji katika gurudumu la maendeleo.
Sote ni wana jamii na tunapaswa kuchangia maendeleo katika jamii
tunayoishi. Mungu awabariki wote. Asanteni sana
Valerian
B-K. Masao II,
Mwenyekiti
Wa Familia ya Mwalimu Valerian
Nakala
Kwa:
(1) Mwenyekiti wa Ukoo (Kila mwana ukoo awezapata nakala kwa maombi)
(2) Balozi wa eneo husika,
(3) Ofisi Ya Mtendaji wa Kata Ya Uru Mashariki,
(4) Kituo Cha Polisi Majengo,
(5) Ofisi Ya Afisa Mtendaji Wa Wila-KDC,
(6) Ofisi Ya Ustawi Wa Jamii,
(7) Ubalozi Wa Tanzania Nchini Marekani- Makao Makuu UN Office, New
York;
“STOP AND READ”
Disclaimer: This E-mail is in tendered for personal and business use only, solemnly by the addressor; you are not authorized to distribute content(s) of this email without a written approval. Any materials contained in this e-mail should be used for the in tendered purpose only, nothing-less or more." Mr. Masao.
Disclaimer: Content of this e-mail may contain private, privileged and patent materials or information that are protected by legal statues, therefore should not be revealed to the third part, because it may violate these statues. Furthermore, materials from this email are carefully reviewed before sent and should not otherwise be altered, changed, copied or used in any circumstances that may violate anyone’s right(s). This is to clarify that materials sent to you in person by addressor could be appropriate but if addressee distributes to the third person(s) could then be an offence, thus, in this circumstances the addressor is renouncing any act of such unauthorized act(s). By addressee receiving this e-mail is aware and abides by this claim notice under the privacy and all statues set to protect the addressor by law(s)." May God Bless You and the United State Of America.” By Mr. Masao
Quote: "Live, Laugh, Lift and Love your life; because in this life and future, we got to do our best, as per our Almighty Creator of All." "Life is what you make out of, good or bad, the choice is yours to make from day one." By Mr. Masao.
Disclaimer. Content of this Blog/Web is intended for reading use only and may contain privileged, confidential, or proprietary information that is exempt from disclosure under law. Reader(s) discretion is required of essence. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly by profile e-mail and or comment line. Content of this blog are protected under the privacy, 1st amendment and private property laws. Do not distribute, print, download and or copy content of this Blog without Blog Administrator’s permission or proper academic references to Fatherhood Life Blog. Also contents of this Blog are personal opinion, views, perception and private or Public observations of the Blogger(s). Thank you and may God bless you and The United States Of America. "In God we Trust" and "United We Stand".
Thanks to Google Translate. You can copy and past this in the Google Translate and it will translate it for you to the available language services. I believe that many languages are covered in the Google Translate, luckily, Swahili is there too. So I used it and i can relate with most previous posts from this informative web.
ReplyDeleteIt is shame that this woman and this man are highjacking the entire community. Above all it is a shame that even local government is being let to be used by these hateful people to advance their agenda.
ReplyDeleteCant's you guys be able to convict him from his actions and motives? Given that he has such an extensive past criminal record? Don't let this animal run in the streets because he can really hurt someone. Then what? You guys have a right to stand your ground and defend yourselves. Even to be preemptive and address the threats he poses at early stages. He is an animal and he cannot be trusted to be in the civilian at all.
ReplyDeleteIt's good that you are clinging to your God because no way possible a plain human being can be able to deal with such venom and hold on as much as you did without doing something dumb and regret later. You are in our thoughts and prayers.
Mungu Ibariki kazi ya mikono yetu. Hawajui tulivyomenyeka na tunavyomenyeka kupata wanachokiona kwa macho yao. Ukiona vya elea vimeundwa. Hizi ni TALANTA. kila mtu ana zake. Ulipewa zako. Zitumie. Acha wivu. Amina.
ReplyDeleteHivi ni vita vya kiroho na mambo ya kimwili au mamlaka za dunia haziwezi kusuluisha. Ni mioyo yao inavyozituma akili na nia zao. Amina Bwana alikufa msalbani kwaajili ya wokovu wetu sote. Na basi akawapake mafuta ya utakatifu ili roho zao zipate kuponeka.
ReplyDeleteHakika Bwana ni mwema na mpaji. Hakika Bwana atawalinda wale wake na kuwarudisha kundini wale wamtafutao. Nasi twamtafuta Bwana, kila saa na nukta ili aturudishe kundini.
ReplyDeleteHivi Watu Wa TANESCO siku hizi huwa wanakuja nyumbani kwa wajane na kuhoji kwanini wana ulinzi mkali na kuwa wamepata wapi vitu vya electronics wanavyo vitumia?
ReplyDeleteHawa watu wa TANESCO wana kuja majumbani kwa watu kusoma MITA na kwenda zao? Au wanatumika kufanya udadisi wa plan fulani fulani au? Hebu tupeni ufunuo maana kuna watu hawataki kutuona tunakaa kwa AMANI NYUMBANI KWETU. Hatujawai kwenda kuingilia watu majumbani kwao.
Chuki, hila na wivu vimetawala watu na huu mzozo. Ukitambua hilo utaona mengi na kuwa mwerevu wa kujihami na baadhi ya watu. Mungu akuzidishieni ulinzi wake maana mumezungukwa na adui. Wanajilazimisha hadi nyumbani na kuna hila nyingi sana.
DeleteHuyu mtu hana hadhi ya kuishi uraiani na huru. Ni mdhalilishaji wa haki za binadamu na anastaili arudi huko Jela alipokuwa. Mtu akienda Jela mara tatu kwa makosa mbali mabli na ya jinai, kuna sababu zake kubwa sana. Hata wanaompa huu msaada wa kuendeleza ukiukaji wa haki za binadamu nao wachukuliwe hatua kali sana.
ReplyDeleteHuyu Bernadin Marselian Massao amekua kero kwa karibia kila mtu hapa mtaani. Anakata miti hovyo anatumia watu wengine kufanya uhalifu na anasambaza unafiki na uongo mkali sana wa kutenganisha wana jamii. Kwahiyo ninyi ndugu zake munayoyapata sio mageni kwenye familia za watu wengine kutoka kwa Bernadin. Inabidi mupambane nae vikali maana huyu mtu ni Nyoka kabisa. Poleni sana.
ReplyDeleteKuweni makini na watu wanokuja nyumbani kwenu bila sababu au kwa kutumia vigezo fulani fulani. Bernadin na kundi au mbinu zake za uhalifu huwezi kuzijua zote. Inabidi mujihami kwani yanayosemwa ni mengi na matendo pamoja na nia zake mumeshazijua. Kama mulikua munayafumbia macho, sasa fungueni macho. Ni vigumu kweli kweli kupambana na ndugu wa karibu na mnafiki kama huyu Bernadin. Wahenga walisema lisemwalo lipo, kama halipo, laja.
ReplyDeleteHuyu Bernadin amekata miti sana huku mgombani. Anefanya panalua jangwa. Pia abahusika na uhalifu wa kila aina. Ni mtu mchafu sana na ana hila sana. Ananyemelea watu na vya watu kama nyoka . Bora tuu sheria mshughulikie huyu mtu.
ReplyDeleteHakuna yafanyikayo sirini yasitoke upenuni. Hila za huyu mwanadamu zitatoka tuu. Hawezi kumficha kila mtu na kila jambo. Atafunguka tuu. Msikilizeni maneno yake vizuri na angalieni tabia na mwenendo wake kwa makini sana. Utapata vielelezo vingi sana vya uovu wake huu. Tena pale anapoanza kumbulikiwa ataanza kutokuwa makini maana plan zinaenda mrama. Hapo ndipo utamnasa kama panya kwenye mtego anavyotegwa na mvuto wenye mafuta ya ng'ombe yaliyo kaangwa vile.
ReplyDeleteAnaonekana kuwa ni mtu mwenye hila sana. Ana tamaa kama ya fisi, naona mhariri hapa kampatia sana uelezaji wake alivyomchambua. Inaelekea mharirir anamjua sana nia ya huyu mtu. Njia za mwongo na mnafiki ni fupi. Maana huwa ananufaika pale anapaoweza kutuliza kila aina ya chokochoko itakayaomfanya aumbuke au ukweli kutoka uwazi.
ReplyDeleteHakuna mtu anayeweza kuificha nafsi yake na nafsi yake ndioitakayomwumbua na kuleta awazini mambo yake ya sirini. Ni dhahiri nia zake kwa ndugu zake hawa sio nzuri na ana hila za kibinafsi. Ila ametengenezewa/amejitengenezea mazingira ya ndugu au marafiki kumlinda. Hiyo ngome itabomoka tuuu!
UNAFIKI umetawala sana hawa wana ndugu, ukoo, jumuiya, na jamii kwa ujumla. Iweje mtu kama hawa wana ndugu waje kumwingilia Mama mjane na mtu mwenye heshima zake kwenye jamii na hakuna hata ndugu mmoja aliyeweza kujitokeza na kuwaambia hawa machakaramu wasimsumbue huyu Mama na au familia yake?
ReplyDeleteHii familia haikuwahi kwenda kwa mtu kumleytea shida mtu yeyote. Nadhani upole wao ndio umetumika kuwakandamiza. Uliwapa hawqa ndugu vichwa. Walijua kabisaa wanaukoo wenzie wote ni wanafiki na watatazama pembeni ilimaradi huku wakiwaachia hawa mafisadi wajuchumie vyao mapemaaaaa.
Asante admin, uliwakomesha wote, hawa ndugu mafisadi na wana ukoo wanafiki. Hii kitu ni elimu kwa Umma ati.