Tuesday, January 31, 2023

Meme: Wauaji Hutumia Njia Nyingi Sana




πŸ‘†πŸ½Hii Meme imenikumbushia case studies/tafiti za shuleni na kazini; na pia experiece ya maisha yangu na familia yangu kutoka kwa ndugu zangu na wanavyo watumia WANAMOVEMENT wao kutupiga vita. Experience yangu tangu utotoni na hadi sasa, ni kutishiwa kuwawa kwa kila namna, namna iliyo jificha na hata waziwazi. Matendo ya familia ya jirani na Baba Mwl. Marcelian: Bro Ben kunioverdose nikiwa mtoto, tangia utotoni kutangaza kwanini mtu hafi nyumbani kwetu, kumwita mama yetu mchawi, BADA YA BABA ZETU/WATUNZA AMANI KUFARIKI wao kutuvamia, kugushi makesi, kutumia familia yao kama uwanja wao wa mashambulizi kwetu kutoka kwa WANAMOVEMENT, kutaka kumwua mama kwa kumchomea yumba akiwa ndani mara mbili, na hili la kujilazimisha kwetu, ni mkabala kabisa na dhamira zao za kumwaga damu yetu.

Wauaji hutumia njia nyingi sana kutimiza lengo la kumwaga damu ya walio wakusudia. Kwetu, kwenye familia ya Mwl. Valerian B-K. Masao, ndugu na jirani zetu wa familia ya Mwl. Marcelian B-K Masao, kwanza, walianza kwa kuvumisha. Eti Mama yetu ni mchawi. anayejua #Witch-Hunting ni nini, anaelewa. Whitch-hunting ni kumvumishia mtu uovu ili asulubiwe hadi kufa. Kwahiyo kumwita mtu ni mchawi ni kumtangazia kifo. Kuna sheria na mmoja wa hawa ndugu alipatikana hatiani.

Pili, wakauna Movement yao ya kushirikiana na kushangilia uovu wanao utenda. Ili kupata kichaka cha kujificha na kutimiza manu9 yao, wakidhania kuwa hawara bainika kirahisi na au wakibainika wawe wengi -πŸ‘ˆπŸ½ndio lengo lao na MOVEMENT yao. Ila Ukweli na Haki ni uti wa mgongo wa jamii imara.

Tatu, wakaweza kutimiza ajenda yao ya kuwekea ndugu na wanajamii hali ya sintofahamu. Hii ni kuweka saikolojia kwa kila mwanafamilia na mwana jamii kuwa sisi kwa Valerian hatuna hadhi ya kuishi nyumbani kwetu kwa amani. Lakini Ukweli na Haki vina simama imara.

Nne, wakatumia mafanikoo yao hapo juu, na kuanaanza kutumia njia kadha wa kadha. Mfano, kutumia njia zao kabambe za kujinyakulia ardhi, ili (1) watuzingire na kuutumia ujirani wa kutuzingira na undugu kutimza lengo la kuua, (2) tukafurukuta, ndipo wakaanza kutumia nyezo zao za saikolojia waliyo iwekezea kuwa Mama ni mchawi na kusingizia tutakufa kutokana na laana na shangazi/mwanamfu. Hakuna laana. Kuna MKONO MREFU WA MTU. Hawawezi kutudanganya sote kuchu.

Tano, tulipodhibiti haya yote wakaja na makesi ya kubambikizia. Theodomiry Marcelian Masao a.k.a. Albert Peter Massao, dada zake na #WANAMOVEMNT wao, kwa njia wazijuazo wamekua wakifungua makesi lukuki kutimiza lengo lao la kumwaga damu ya Familia ya Baba mdogo wao na jirani yao, Mwl. Valerian B-K. Masao. 

Sita, Walipoona lengo la kumwaga damu bado halijatimia, wakaamua kuja kuchoma nyumba yetu mara mbili , kutaka kumwulia Mama yetu ndani. Ikumbukwe kwamba, kumvamia mtu kwake, kumchomea/kuchoma moto nyumva ya mtu, kumtangazia mtu mbona hafi mtu huko kweke, na kumtangazia mtu ni mchawi, vina mwendano na uwiano sawa ktk malengo ya umwagaji damu. 

Saba, kama wange/wakifanikiwa kumwua Mama yetu, wange/watavumisha kuwa (a) ali/amekufa kwa upweke (kauleta nani upweke?), (b) ali/amekufa kwa kutokana na msongo wa mawazo (kayawela nani mazingira ya mawazo?), (c) ali/amekufa kutokana na laana (kujisukumiza kwetu ni mazingira ya kuweka mkono mrefu wa mtu), au (d) ali/amekufa kwa kuwa kizuizini (nani anambambikizia makesi ya kuwa Kizuizi?).

Nane, walianza kutuvuruga kwenye familia ili lolote wafanyalo lisijadiliwe kwenye kikao cha kifamilia. Walikua wamejiandaa na WANAMOVEMENT wao na kupeleka mambo ya ndani/KIFAMILIA serekalini, ambapo haya mambo yangetatuliwa ndani. Hawakujua kuwa, hakuna anayeweza kutabiri kesho, na kuwa UKWELI na HAKI ni sera bora ya kuishi hapa duniani. Mfano, Kwenye kikao cha kata, Mtu wa Kwa Baba Mwl. Marcelian alipoona kikao kinawabana akatupa kombora la Kumwita Mama ni mchawi. Ili aharibu kikao. Na alifanikiwa. πŸ‘ˆπŸ½πŸ‘†πŸ½ Hivi ndivyo vitimbwi tumekua tukiishi ndani/faraga kwa miongo mingi. Hali ilikua ni VITIBWI, VISA, KUTISHIWA, NA UVUMI. Nashangaa wanavyovumisha kuwa sisi ndio ttuliowapeleka nje mambo ya familia. EboπŸ€”!

Nirudie tena, hili swala la familia ya Mwl. Marcelian kutumia kila mtu, kila njia, kila nyezo kujisukumizia kwetu au kupita kwetu bila kizuizi, kugonga hodi na kukaribishwa, ni uchochoro/kichaka chao cha kujificha kutimiza malengo yao ya umwagaji wa damu. Hili swala lao, la hawa ndugu kujisukumiza kwetu kwa nguvu kali hivi, ni WANAMOVEMENT kupata kisingizo kama 1 hadi 8 na a, b, c & d hapo juuπŸ‘†πŸ½. Walishawekeza ktk hivi visingizio kwa miongo mingi. Tuwatazame kwa kina kirefu sana mno. 

Wanakazana kila njia kuzuia ukweli na haki. Uongo, uvumi, ushabiki umewatawala. Ukweli na Haki vitasimama. Hawawezi kudanyanya kila mtu, kila pahali na kila wakati. Walipo haribu familia, walitegemea kuwa wakienda serikalini WANAMOVEMENT wao watawabeba hadi kutimiza lengo lao. Haya mambo yangekuwa ni ya kawaida na nia njema ktk kukosa kwa kawaida kwa mwadamu, kama kila mikwaruzano ya familia yenye amani, yasingefika hapa tulipo. Impunity na nia mbaya ndio kitivu cha huu mzozo wa generations. Tuzidi kuombeana, tuwe wakweli na tutimize haki. Yehweh atubariki sote. Asante sana kwa kusoma. 


VPELP Reader(s) Signature and Disclaimer: Content of this Blog (ttps://vpelp.blogspot.com) is a “Me Too To retired and widow Mwalimu Felicia H. Moshi” and family, to her oppressors. The content of this blog is protected under the privacy, US First Amendment, and private property laws. Also, the contents of this Blog are mixed opinion/interpretations, views, perception, overreactions, experiences, and feelings by members of Valerian and Felicia Masao’s privileged real-time and real events of their private Family facts, presented by of the Blogger(s). Please help us to raise awareness for the VULNERABLE people. "In God We Trust," and "United We Stand.". Contents of this Blog are intended for reading use only and not permitted for any commercial, publicity, or malicious acts. Reader(s) discretion is of the essence. Do not misrepresent, distribute, print, download, and or copy the content of this Blog without the Blog Administrator’s permission or proper academic and legal references. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly. Thank you, and may God bless you.

4 comments:

  1. Mnh!why?Anyway wanasema ukiwaombea adui zako wafe utashangaa wanakufa ndugu zako!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona hawa wote ni ndugu na jirani

      Delete
  2. Hujasoma hizi makala zote na kuona yote yanayojiri na kuelewa? Wanaotuhumiwa kutaka kumwua huyu mama na kizazi chake ni ndugu. Baba zao na shangazi yao ni ndugu na jirani kabisaa. Ina elekea unataka kupooza makali ya haya matendo ya kinyama.

    Ulishawai kuona wapi nyumba inaungua peke yake mara mbili ndani ya siku 30? Hawa ndugu na huu ukoo una laana na mambo ya ajabu sana. Huku nje tuliwaona wazuri na wenye maendeleo. Kumbe humo ndani nyote mumetuonyesha mulivyo.

    Ndugu asiyekemea mabaya kisa chuki, tamaa, ulafi, wivu na mambo ya kusingiziana uchawi ni kitu cha aibu na ajabu.

    Nyote katubuni, murudi pale mulipo mwacha Mungu. La sivyo mutadhibiwa vikali sana.

    ReplyDelete
  3. All the article in this blog are mind blowing. I urge you to read them chronologically/in sequence. I'm from Moshi. I know this Masao family from Uru, Moshi. The grandparents and parents were good people. These grandchildren inherited their wealth from their grandparents and parents' foundation, but now, some of them are gullible, jealous and simple minded.

    The white grandchild from Europe understands well their foolishness and is exploring it. He used his white family learned influence to influence the gullible black African cousins, who are many from the area just like the way European colonizers used gullible African kingdom leaders to influence their doing and control the majorities.

    It is sad. These two families were living together despite their legitimate disputes, like most African families. Their is no African families without some legitimate disputes. it is common.

    What it is not common, is to have gullible and selfish family leaders and elders to conform to foreign powers and influence to this level of destruction and eager to shade blood of their own, it is foolishness.

    They all can live their independent lives without interference. Why do these family members get to the levels of wanting to to kill by arsonists and using governmental leavers? It is foolishness and will remain as such in this generation and generations to come. Something is wrong here, corruption and ill influence. Wake up Africans.

    ReplyDelete

Thank you for visiting usπŸ™πŸ½. Feel free, be happy, do good/right things & remember that sky is not the limit, but your eyes, dogma & imagination/mind are the only limit. My father, Sr. used to say that the mind is the most powerful resource/thing a human being can ever have; use it wisely. It is similar to a common saying that the mind is a terrible thing to waste.