Sunday, April 5, 2015

Pasaka Hii Kwa Auntie Florentina Masawe na Bernadin Massao

Nimesoma Emails zako Auntie. Ni dhahiri una conflict ya imani na uamuzi wetu wa kiroho. Kama muna ushahidi/fact za munayoyasema peleka kwenye baraza la ardhi. Vingenevyo hatuna cha kuwajibu wewe au Mfuasi wako Bernadin Marselian Masao kuhusu munayo zutangumza huko barabarani. Haya mambo mulitakiwa kuyafanya kinyumbani.  Niliwaonya tangu ile 2009, 2010, 2011, 2012 na 2013 nilikua nikirudia kuwaonya muache kupeleka mambo ya nyumbani mtaani. Sasa mumetuleta huku mtaani haya nendeni kwenye Baraza la ardhi mujielezee humo maana ninyi mumefuzu kuwa watu wa mtaani kwetu. Ila nina ujumbe ufuatao hapo chini kwenu, maana munajilazimisha sana kutufuata nyumbani kwetu mumalize kazi mulio ianaza kama kawaida yenu munavyosema "Mbona Watoto wa Valerian na Felicia hawafi?". Bernadin kumbuka uliyomtendea mama na vitisho ulivyompa wakati baba akiwa hoi kitandani na baada ya kufariki. Sio siri tena. Mumeanza haya ninyi wenyewe. Ukweli utatoka tuu ndio maana tuana adhimidha KWARESMA, Skukuu ya kupatikana UKWELI. Kwani ninyi ni Mungu? Nani amewapeni hayi watu mamlaka ya ROHO zetu na NYUMBANI kwetu?

Yesu amelipa dhambi zatu sote pale msalabani. Hakuna anayeweza kuzuia roho na nafsi huru kumtambua Jehovah na anayoyafanya kwetu na uhuru aliotupa binadamu kila mmoja na roho na imani yake kwa kutumia utashi na talanta. Vyote ni vya Jehovah na shetani meovu ndo ataka kututapeli na kutudanganya ili tusitambue Ukweli. Nasi twasema "THIS TIME IS DIFFERENT".

Mungu alimtoa mwanae wa pekee ili tuokoke. Yesu alikufa msalabani ili ukweli ufahamike. Ila shhetani laghai na taprle anataka binadamu asitambue ukweli na asafiri katika giza ili aishie motoni. Lakini rohi huru za tambua ukweli kua Yesu ni mwanga, ukweli na njia ya uzima wa milele mbinguni kwa baba.

Matatizo yenu ninyi wawili na wafuasi wenu munadhania munaweza kutawala roho zetu na maamuzi yetu kama watu huru na binafsi. Si kweli.  Yesu alikufa msalabani akashinda mauti ili tujue huo ukweli inaofichwa na mamluki na wababiloni kama nyie. UKWELI ni kwamva uko huru nannyi pia muko huru, ndio PASAKA. Munajulikana munayoyayafanya nasi twajulikana tunayoyasema. Hakuna njia ya panya isiyoishia ukingoni na kutokea kwenye mwanga.

Katika maisha na leo hii tunavyo sherehekea PASAKA ni muhimu kujua Yesu ameshinda mauti na dhambi zetu zimeoshwa na damu yake takatifu. Haswa kwa sisi wana Balthazar, kutokana na kazi yake ya kueneza Ukristu kama Jesuit na alivyokua akisema "MUNGU NI HERI NITESEKE LAKINI KIAZAZI CHANGU KIKUJUE NA KIONE UFALME WAKO BABA". 

Kutokana na haya, kama damu ya Jesuit Babu Balthazar Kiwera Masao, nasema hii "kuna kitu kinaitwa LED Light- kimaisha ya Kikristu ni Yesu kama mwanga wa maisha; Sport Ligt - Kikristu ni Roho mtakatifu; na Security Light - Kikristu ni Mungu Baba, Jehovah au Yawe mwenyewe". Kwahiyo basi tusilazimishane imani au mamlaka au matakwa. Kaaeni makwenu nasi makwetu jinsi tulivyo na imani zetu. Ni dhahiri hamutaki tuwe na imani yetu. Ila mwenye mji na mwanzo wa haya yoye alikua na Imani ambayo tunaiamini tofauti na ninyi munaotaka kuleta mila za jadi kwenye imani za wengine. Hatuchinjii mbuze miungu kwasababu  Yesu ni Mwanakondoo na Amri ya Kwanza inakataza hayo na mengineyo katika Amri Kumi za Mungu. Yesu ni bwana na Mungu ni Mungu wa majeshi. Amina.

NB: Auntie Florentina Masawe na Bernadin Marselia Massao, Pelekeni hili swala kwenye Baraza la Ardhi ili Mirathi Ya Babu ifinguliwe na Watoto Wote wa kiume Wa babu Mirathi yao ifunguliwe. Tutaona kama maamuzi yake kwa kutumia Roman Law au Customary Law yatakupa wewe Auntie Florentina au Bernadin Pale Bustani unapomiliki sasa; achilia mbali na hapo Pateni Plot unapotaka kutuvamia na kumtumia Bernadini ili mupaibe. Kwa mshangao wako Bustani kwa Customary au Roman Law patageuka kuwa kwa Mtoto wa Baba Mkubwa John.

Sasa hao Wana Ukoo wawili watatu Wa Masao Ya Kiwera muliowanunua kwa pesa mbili kuwa ulipewa Pateni Plot kwenye Matanga ya Babu tutawaona watakavyotoa ushahidi mzima wa Mirathi ya Babu na Baba zetu.

Siku hiyo tutakua tumefikia kilele cha huo Wivu, Tamaa na Chuki zenu dhidi yetu sisi Watoto Wa Valeria na Felicia na wazazi wetu.

Munataka kuongea ukweli na hali halisi? Tuzungumzie hili. Munafanya mchezo na sheria ninyi watu? Kuna vitu pesa au.maneno matupu au vitisho havinunui. Cha kwanza ni ROHO YA MTU na cha pili ni NYUMBANI KWA MTU.

Tamaa, Wivu na Chuki ni vitu vibaya sana jamani. Ndio maana ni Miongoni mwa mizizi mikubwa ya dhambi. Amkeni ns fungukeni wana ndugu.

Woi! Mubarikiwe.

2 comments:

  1. Jamani hii ni kazi ya Shetani. Hadi Pasaka hii huyu mama analeta visa vyake vya ardhi kama sio ushetani ni nini?

    Huyo Mbabu alifanya makosa sana kumpa huyu Mmama ardhi. Angalia athari anazozifanya.

    Ndio maana kisheria na kimila kwenye ardhi za jai hawapewi watoto wa kike. Wanaolewa na kwenda kwa waume wao.

    Biblia inasema kabisaa, wanatakiwa kuambatana na waume zao kuendeleza miji na ukoo za waume wao.

    Hili ni fundisho kubwa sana kwenye jamii yetu hii.

    Wachaga tujifunze hapa.

    ReplyDelete
  2. Dunia hii ina mambo. Kweli umdhaniae ndie kumbe sie. Shetani ana hila nyingi jamani. Watu tutumie maarifa. Nani angejua haya ya huyu mmama aliyekua na heshima hivi? Kulikoni jamani.

    ReplyDelete

Thank you for visiting us🙏🏽. Feel free, be happy, do good/right things & remember that sky is not the limit, but your eyes, dogma & imagination/mind are the only limit. My father, Sr. used to say that the mind is the most powerful resource/thing a human being can ever have; use it wisely. It is similar to a common saying that the mind is a terrible thing to waste.